Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,635
- 20,977
RAIS WETU KIPENZI AIMARISHIWE ULINZI MARA 10 ZAIDI, moyo wangu bado hauna imani kivileee! Ndugu yenu!
Nashauri atume mwakilishi,asitie mguu pale.RAIS WETU KIPENZI AIMARISHIWE ULINZI MARA 10 ZAIDI, moyo wangu bado hauna imani kivileee! Ndugu yenu!
Ni maigizo tupuWanafanya reconciliation kiaina huku wakituona sisi mazuzu?
Basi waombee na mvua kabisa na wazazi wote waliokula ada.
Bibi ushungi yuko wapi?Tunapoamua kuwaombea wenye shida nyie mnatuletea FFU halafu nyie mnajifanya kuombea "amani". Hiyo amani ni shinikizo la kesi za michongo, choko choko za katiba mpya!! Mungu muumbaji atawapa tanzania kilicho chema!
Hata wewe utaombewa!Katiba haina kipengele kisemacho moja ya kazi ya bunge ni kuliombea taifa, bali kuihoji na kuishauri serikali pia kutunga sheria. Kila watu wawajibike kwa majukumu yao.
Kuna jambo viongozi wa nchi hii hawajalitambua, uonevu na kutokuheshimu sheria na katiba habitawaacha salama
Kila siku bungeni kabla ya vikao kuanza kuna sala nzuri fupi ya kuombea bunge na nchi. Sasa wameona ile sala haijibiwi? Sasa jengo la bunge litageuzwa msikiti au kanisa?Sisi hatuko duniani?.....
Sasa wewe Unapata afya wakiendelea kuvutana? Ni kwa faida ya nani? Acha uchawi mkuu.Wanafanya reconciliation kiaina huku wakituona sisi mazuzu?
Basi waombee na mvua kabisa na wazazi wote waliokula ada.
Sala za wanafiki haziendi popote. Wanapoteza muda tuu.Hata wewe utaombewa!
Rashidi mwenyewe keshazinguana nao, Waamaleki anawaitalabda wanamtegemea askofu rashidi 🤣
Waombee hilo lisanamu lao hapo la KongwaSala za wanafiki haziendi popote. Wanapoteza muda tuu.
Huwezi kuingia bungeni kwa kupora ushindi eti halafu uutumie ubunge huo kumuombea mtu kwa Mungu.
Labda mungu wa kuchonga!
“Kuvutana” ni neno subjective😊Sasa wewe Unapata afya wakiendelea kuvutana? Ni kwa faida ya nani? Acha uchawi mkuu.
Anajua aliyoongea ni ya uongo,kama mnavyozusha humu kwamba nusu ya mkopo umeenda Zanzibar baada ya sakata la til.1.3 kubuma sasa mumekuja na lingine.“Kuvutana” ni neno subjective😊
Kazi ya Bunge sio kuomba misamaha hovyo kwa Serikali baada ya kuibua hoja. Ambacho angepaswa kufanya Job ni kureplay speech yake yote anayodai ni original then afafanue some of those controvesial remarks kwa manufaa mapana ya Nchi ili hata mama Hangaya na yeye apate ujumbe wake
Sio kukimbilia kuomba radhi. Na waandishi wetu wa habari walivyo punguani, hawakuweza hata kuuliza maswali yenye akili
Legacy imetulia tu akili kubwa atuendi kwa miemko ss wazarendoKifo rasmi cha Sukuma gang