Maombi au Makelele ya KisiasaSpika Ndugai ametangaza tarehe 29/01/2022 kuwa ni siku ya kuliombea taifa ili liwe na amani, mshikamano na ushirikiano.
Maombi yatafanyika bungeni na viongozi wote wa dini watakuwepo ambapo mgeni wa heshima atakuwa Rais wa JMT mh Samia.
Ndugai amesema utaratibu wa namna hii hufanywa na mabunge mengine huko duniani sisi tumechelewa tu.
Source: ITV habari
Bunge hili lililompiga risasi Mbunge wake na likamnyima matibabu ili afe hayo maombi watayaelekeza kwa Mungu yupi? Labda Mungu wa Mabaali