Spika Ndugai: Tarehe 29/01/2022 Bunge litaongoza maombezi maalumu ya kuliombea taifa, mgeni rasmi atakuwa Rais Samia

Spika Ndugai ametangaza tarehe 29/01/2022 kuwa ni siku ya kuliombea taifa ili liwe na amani, mshikamano na ushirikiano.

Maombi yatafanyika bungeni na viongozi wote wa dini watakuwepo ambapo mgeni wa heshima atakuwa Rais wa JMT mh Samia.

Ndugai amesema utaratibu wa namna hii hufanywa na mabunge mengine huko duniani sisi tumechelewa tu.

Chanzo: ITV habari
Another meeting ya kula pesa ya nchi….halafu end of the day anajiuliza why tunakopa….
 
Nashauri atume mwakilishi,asitie mguu pale.
Avae hata gloves itakapobidi kusalimiana na watu /why?, Kwa Kauli ya spika, baadhi ya wana CCM walipiga kelele lakini hakuna hata mbunge alikemea walikuwa kimya.. Kimya ni kutafakari AU kukubaliana.
 
Back
Top Bottom