Spika Ndugai: Lissu hana kibali cha kuishi nje ya nchi, amtaka arudi mara moja Tanzania

Ngoma hii naona imeathirika na ngoma, haka kamjamaa hakajui Lissu alikuwa anatibiwa wapi, kanadhani alikuwa anatibiwa Dodoma, aibu kwa mwandishi wa habari kuwa ZIRO kichwani.
 
"Lissu, ambaye amemaliza matibabu yake nchini Ubelgiji na sasa anafanya ziara katika nchi za Ulaya amedai kuwa kuna mkakati wa kumvua ubunge akidai Bunge nalo linashiriki katika mpango huo". Nani anasema haya maneno? Taarifa ya kumaliza Matibabu imetolewa na Nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thank God kwamba hata wewe unacho kichwa ingawa hatuna uhakika ndani ya kichwa hicho kuna nini, hiyo ni siri ya muumbaji tu, wengine hatujui.
 
Acha uchawi ww inz wa kijani. Lisu yuko kwenye matibabu akiruhusiwa kurudi atarudi. Mbona unaanza uchawi ukiwa bado mdogo ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaona nawaona vibaraka wa serikali nawaona
Mungu awasaidie sana mtambue ninyi ni akina nani,na mnachokitumia kujifunika nyakati zinakuja kitakuwa kimepepea kwa upepo na mmerudia majumbani kwenu kuuguza mabandama,mafigo,makisukari,mastroku na vitambi vya urafi
Sijui mtalopokea wapi?sielewi mtasemea wapi?sifahamu mtajifichia wapi?kumbukeni nyazifa yenu ina ukomo hakika inaukomo..na hapo ndipo mtaanza kuelewa kwanini black and white iliitwa zebra.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugai ni tutusa mkubwa sana. Yeye ana kibali cha kumuita Lissu wakati yupo hospitali? Mpuuzy mkubwa sana....***** zake!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasiasa na wasanii wa bongo wakiona vinasa sauti vya waandishi wa habari huwa makoo yanawasha na matokeo yake wanaongea vitu ambavyo hawakupanga kuongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…