Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,011
- 9,878
Spika Ndugai amesema kuwa chama kukata wabunge wake sehemu ya mapato yao ni kuichukua kodi ya Serikali
Amesema kuna baadhi ya vyama vimeweka kwenye masharti na kanuni katika Katiba zao kwamba asilimia 30% ya mapato ya Mbunge yatakuwa yanaingia kwenye chama
Ameyasema hayo kumuambia Waziri wa Fedha, Dr. Philip Mipango ili kuangalia namna ya kushughulikia hilo
Pia amesema ni muhimu kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania, TRA kufuatilia hilo kwa kuwa hayo ni mapato ya Serikali.