Spika Ndugai ataka kamati ya bunge ichunguze Wezi wa Mitihani ya Uuguzi, adai taifa linaweza kupata Wasomi vihiyo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,965
141,968
Spika Ndugai ameiagiza kamati ya bunge ya Huduma za Jamii kulifuatilia swala la Uvujaji wa mitihani ya vyuo vya uuguzi.

Ndugai amesema tukiwachekea wezi wa Mitihani taifa litaangukia mikononi mwa wataalamu wasio na sifa yaani VIHIYO!

Chanzo: ITV habari
 
Hii issue imepita kimya kimya sijawahi kuisikia, kumbe hata ma-nurse nao huwa wanaiba mitihani? nikadhani fani nyingine ndio hufanya hivyo kutokana na nature ya mafunzo yao.
 
Spika Ndugai ameiagiza kamati ya bunge ya Huduma za Jamii kulifuatilia swala la Uvujaji wa mitihani ya vyuo vya uuguzi.

Ndugai amesema tukiwachekea wezi wa Mitihani taifa litaangukia mikononi mwa wataalamu wasio na sifa yaani VIHIYO!

Source: ITV habari

Yeye mwenyewe na hilo bunge lake wako bungeni kwa wizi wa kura, sasa atamuhoji nani? Hao wezi wenzake wanamchora tu, akiingia kwenye anga zao watamuuliza awaambie aliingiaje bungeni.
 
Back
Top Bottom