Alishasema pale njengoni kuwa faili lake lipo mirembe
Ukichanganya na yule bundi aliyetinga bungeni basi utajua tuAma kwa hakika si bure [emoji16][emoji16]
Ukichanganya na yule bundi aliyetinga bungeni basi utajua tu
Hahahaaaa.......bungeni hakuna mbunge asiyekuwa na chama bwashee.
Labda yule AG ambaye ni Jaji!
Wale ni wabunge wa Chadema!Kwani wale 19 si ni wabunge wa Ndugai peke yake?
Kwani wabunge wa nani wale mkuu?
Wale ni wabunge wa Chadema!
Chadema gani tena jamani!Wale ni wabunge wa Chadema!
Chadema ni kama nyoka aliyekatwa kichwa!Chadema gani tena jamani!
Mbona ilishakufa
Mkuu siyo kweli kweli bali ni kweeeriiii kweeeriiiiNinakusoma mkuu wangu kwa kweli tuna viongozi wa ajabu kweli kweli
we ni maiti! CDM imekufa mnatafuta kumuua Mbowe, kama imekufa tabu yote na Mbowe ya nini? wewe ni maiti!Chadema gani tena jamani!
Mbona ilishakufa
Anawashangaa na sisi tunamshangaaAmesikika Mheshimiwa Ndugai akiwananga baadhi ya Mawaziri:
“Hata kwa jambo ambalo liko wazi tu lakini (waziri) haambiliki hayo tumeyaona lakini sidhani kama nyie mtakuwa sehemu ya hao. Wanadamu wenzako wakikushauri wakarudia tena tena jaribu kuchunguza,” amesema.
Hivi "wanadamu wenzake" kwa mukthadha wa bwana Ndugai wanaishia wapi?
Vipi yeye na kina Profesa Assad? Vipi wanaolia na katiba mpya? Vipi malalamiko mahakamani? Vipi malalamiko kulihusu jeshi la polisi?
Vipi wasiojulikana? Vipi malalamiko kuwahusu wabunge wasiokuwa na vyama? Vipi malalamiko ya wao kutokulipa kodi? Nk?
Angekuwa ni johnthebaptist kuhoji mustakabala wa dishi lake kwa hakika ilikuwa muhimu.
Ila sasa mambo mengine haya afanye kuku.
Source:
Ndugai awakosoa mawaziri, ataka Bunge kutolaumiwa kwa kila jambo
Mkuu siyo kweli kweli bali ni kweeeriiii kweeeriiii
Pamoja sanaNaunga hoja mkuu [emoji16][emoji16]
Amesikika Mheshimiwa Ndugai akiwananga baadhi ya Mawaziri: