Spika na wabunge warejea kutoka Misri wataka kocha wa Taifa stars mh Amunike ni dalali atimuliwe mara moja

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,975
Spika Ndugai pamoja na wabunge wote walioenda Misri kuishangilia Taifa stars wamerejea na kutoa shutuma nzito kwa kocha Amunike.

Juma Nkamia amesema Amunike ni dalali aliyeokotwa jalalani huko Sudan na hana ujuzi wowote wa ukocha.
Nkamia amesema aliongea na Rais wa shirikisho la soka la Nigeria aliyemhakikishia kuwa Amunike siyo kocha na kwamba kama TFF wangeomba ushauri basi wangewakataza kuingia mkataba na kocha Amunike.
Naye mh Bulembo amedai kuwa Amunike si lolote wala chochote na kwamba wabunge wengi walishikwa na tumbo la " kuendesha" kwa namna timu yetu ilivyokuwa inaboronga.

Spika Ndugai amesema wataongeza bajeti ya michezo katika bunge lijallo ili michezo ianze kufundishwa mashuleni.

Source Clouds tv!

Maendeleo hayana vyama!
 
Wabunge wa ccm bana wanachekesha ile mbaya, baada ya kuona jinsi watu walivyofurahia hiyo timu kufungwa wanatafuta pa kutokea. Ukweli ni kuwa sisi hatuna uwezo wa soka na gundu lilizidi ccm walivyoanza kuweka kimbelembele kwenye hiyo timu. Ni kweli Amunike sio kocha, je ilikuwaje huo upuuzi wanaoongea sasa hawakuongea wakati timu ilipofuzu kwenda Afcon? Sisi tunajua timu iliyofungwa sio ya taifa bali ni ya ccm.
 
Mchungaji Msigwa, Heche na yule viti maalumu wa Kingu walikuwa Cairo usisahau hilo!
 
Spika Ndugai pamoja na wabunge wote walioenda Misri kuishangilia Taifa stars wamerejea na kutoa shutuma nzito kwa kocha Amunike.

Juma Nkamia amesema Amunike ni dalali aliyeokotwa jalalani huko Misri na hana ujuzi wowote wa ukocha.
Nkamia amesema aliongea na Rais wa shirikisho la soka la Nigeria aliyemhakikishia kuwa Amunike siyo kocha na kwamba kama TFF wangeomba ushauri basi wangewakataza kuingia mkataba na kocha Amunike.
Naye mh Bulembo amedai kuwa Amunike si lolote wala chochote na kwamba wabunge wengi walishikwa na tumbo la " kuendesha" kwa namna timu yetu ilivyokuwa inaboronga.

Spika Ndugai amesema wataongeza bajeti ya michezo katika bunge lijallo ili michezo ianze kufundishwa mashuleni.

Maendeleo hayana vyama!
Hivi Ndugai ana uhakika bajeti ijayo ata kuwa hai??
 
Huyo Amunike mlitaka afanye nini?? Mlibebwa na Uganda ili muingie kilingeni. Sasa mmefika kwenye uanja mnaanza ngebe za kumponda kocha. Mlisikia kocha anagawa njumu?? Tena shukurunu mlitundikwa 2 sivyo kila mchezaji na hao mashabiki kila mmoja angepewa goli lake.
Hatujafikia kwenda huko AFCON
 
Hao uliowataja unadhani tunawasujudia, walikuwa na mchango gani zaidi ya kwenda kuuza face? Hizo pesa walizoendea si bora zingechangwa tuone live hiyo michuano kupitia TBC watanzania wote? Ni hivi, hiyo timu imeharibiwa na kimbembeleza cha ccm.
Hahahaa........Piere Liquid amerejea na wabunge!

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom