and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,105
Baada ya Mpango na Majaliwa kuwekwa pembeni. Sasa NI zamu ya Spika Mkuu kuteuliwa Wizara ya Katiba huku Hawa Namanga akitajwa kama Spika Mpya 2025-2030.
Akina Msambatavangu miaka mitano yote anazungumzia nguvu za kiumeZama za kinamama ziishe sasa tumewachoka bunge gani hakuna cha maana walichofanya
UwaziriIna maana yule wa sasa atawekwa benchi
Ova
Wakina baba mnajizivunia nini kwenye ubaba??Zama za kinamama ziishe sasa tumewachoka bunge gani hakuna cha maana walichofanya
Kwahiyo ukikaa na wanawake wenzako unaona kabisa wanaume hawana Cha kujivuniaWakina baba mnajizivunia nini kwenye ubaba??
Umerudi kwa ID yako maarufu😂Anthony Mavunde
NaamIna maana yule wa sasa atawekwa benchi
Ova
KweliPomoja na tulia kujitahidi kuwa chawa na kulifanya bunge kuwa kibogoyo lakini anang'olewa?