Spika Makinda atumiwa SMS zaidi ya 400 'za matusi'

Asee mbona sms yangu kwake ni kimtumia kiasi kidogo cha ela kwenye moja ya line zake (kiasi hicho nilikusudia kujibu baadhi tu ya sms ambazo angeona inafaa kuzijibu) haikuwekwa kwenye takwimu ?
 
NAMBA HAZIKUTOLEWA NA CDM wajameni watanzania, Cdm walizitangaza tu lakini Yeye mwenyewe Anne Makinda madam speaker ndiye Wa kwanza kuzitoa Na kuzitangaza kupitia tovuti ya Bunge Na tovuti yake mwenyewe Official Anne S. Makinda Website so hatakama CDM wasingezisema tayari wananchi tunazo course Yeye mwenyewe keshatupatia ..

thanx TAMKO hata mi' nilikuwa sina ........... basi ngoja utasikia namba zinaongezeka kama ifuatavyo 401...402...405...
 
Baada ya viongozi wa CHADEMA kutoa namba za spika kwa ajili ya wananchi kuhoji uonevu unaofanywa na kiti chake, wananchi wameikitikia mwito huo vizuri kwa kumtukana spika, TCRA na polisi wanafuatilia wahusika na watachukuliwa hatua za kisheria.

Source: Mwananchi

Pole Mh. Anna Makinda ,pole Mh. Job Ndugai. Ukweli ni kwamba Watanzania wa leo wamefunguka , siyo mchezo. Hivyo uongozi siku hizi hauhitaji mtu legelege, mbabaishaji na asiye makini katika utendaji wake. Mh Samwel Sitta hakutendewa hivyo na wananchi. Tofauti yake alipendwa sana na wananchi na akaipa hadhi kubwa bunge. Kulikoni awamu yenu ? Swali langu ni : Je mnasubiri kupokea SMS ngapi ili mjiuzulu: 5000, 10,000 au 100,000 ?
 
kwa mwendo huu ipo cku CHADEMA watatafuta wahuni 1000 wanye barabarani kutoka airport mpaka karimjee.
 
Chadema inawezekana imeingia mikataba ya siri na mitandao ya simu, hiyo ya Makinda ni gea tu ya kuwafanya mazuzu watumie fedha zao.
 
Watanipata wapi wakati TCRA wenyewe wameruhusu mtu anasajii line bila kitambulisho.
Mbona wa Dk. Ulimboka hakupatikana?

Hawaishii kwenye jina lako hata kama umeandika fake, wataenda zaidi na kuangalia kina nani unawasiliana nao mara kwa mara ambao miongoni mwao watakuwa wamesajiri majina yao original unless hiyo line inatumika kwa kazi maalumu alafu inawekwa pending
 
Sio laisi kwanza kuwakamata...tanzania hatujafikia huko kwenye technology
 
Back
Top Bottom