Spika makinda apangua vibaraka wa sitta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Spika makinda apangua vibaraka wa sitta

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by koo, Apr 6, 2011.

 1. koo

  koo JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Inasemekana katika kile kinachoonekana kama nikujijenga na kuangamiza maadui waliojitokeza katika kinyanganyiro cha uchaguzi wa spika Mh anna makinda amepangua safu ya watendaji ndani ya bunge kwa kuwahamisha wale wote waliokuwa wanaunga mkono mapambano dhidi ya ufisadi.
  Chanzo kimejuza kwamba tayari watumish kumi na mbili wameshapokea barua ya uhamisho kwenda maeneo mengine nje ya dodoma.
  Pamoja na watu wengine yumo pia mhasibu mkuu wa bunge, Mkaguzi wa ndani na wasaidizi kadhaa wa katibu wa bunge.
  Chanzo kimejuza kwamba Mh spika aliapa kuwasambaratisha wale wote aliowaita yeye kama wafuasi wa sita na wanaovujisha siri za ofisi ya spika.
   
 2. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu mama sura-mbaya huwa ananitiaga hasira na misimamo yake ya kikatili!! lakini acha nisichangie, nitapigwa ban bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 3. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Always you should struggle to reduce the number enemies so as you will live longer. Ukianza kulipa visasi, wewe, kizazi chako, dungu au jamaa zako watalipishwa visasi hivyo hivyo kwani chain ya visasi ni haishi ila tu kwa mmoja kuachana na visasa. Huwa nasikitika sana ninaposikia viongozi wanakuwa na moyo wa visasi wakipata uongozi kwa watu waliowapinga wakati wa mchakato wa uchaguzi. Lazima wakubalie kwamba ule huwa ni uchaguzi ambao watu wanakuwa na watu wao. Kiongozi bora anaposhinda ni vema akawakubali wote, waliomchagua na wasiomchagua na kuepusha visasi. Auaye kwa upanga naye atakufa kwa upanga.
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Anyway,kila utawala una mambo yake na huwezi kukubali kufanya kazi na watu wanao kupinga,....honestly kwa title ya thread sioni kosa kwa yeye kufanya hivo!

  Assume Dr.Slaa awe raisi afu amuache salva rweyemamu kuwa msemaji wa ikulu inakuja kweli?
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kwake ni move nzuri... ofisi zetu zina matatizo ya kuogopana, unafiki majungu, uchawi na uzandiki BUT IT IS A VERY SHORT TERM SUCCESS

  WATAKAOFAIDIKA NI WAPIANAJI KWANI WABEBA MAFISADI WAKIKAA JIKONI, BUNGE LITAMSHINDA MAMA MAKINDA, CDM, NCCR, CCM WASAFI WOTE WATAAMKA NA KUWA KITU KIMOJA

  MAMA MAKINDA - MCHIMBA KISIMA, HUINGIA MWENYEWE!!!
   
 6. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,867
  Likes Received: 2,807
  Trophy Points: 280
  Jamani msimseme sana huyo mama akiamua kujinyonga shauri yenu!! pamoja na kwamba anaudhi lakini tumsamehe kwa bure!!
   
 7. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  sasa mnataka ofisi yake binafsi asiwe na watendaji anaowaamini na ambao wanafahamu namna ya kushughulikia kazi zake? wale waliletwa na Sitta walitakiwa kuondoka naye na hilo walilijua sasa kuna lipi la kujadili hapa?
   
 8. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2011
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Tafadhali leta habari yenye uhakika na wala si kuleta majungu. Tupe source ya informations zako acha majungu.
   
 9. f

  findu fiki JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni kweli huwezi ukafanyakazi au kupata ushirikiano na watu wasiokupenda
   
 10. Wanitakiani

  Wanitakiani JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2011
  Joined: Apr 18, 2008
  Messages: 644
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Baada ya kusoma topic hii nimempigia simu rafiki yangu mmoja wa Ofisi ya Bunge kupata ukweli huo, taarifa zilizopo kule mjengoni ni kuwa waliopata uhamisho ni watu wawili tu yaani mhasibu mkuu na internal auditor wao. Tena yasemekana kuwa wengi wamelifurahia jambo hilo kwa sababu ndio channel za ulaji wa vigogo wa bunge pamoja na spika aliyepita. Si kweli kuwa wafanyakazi 12 wamepewa barua huo ni uzushi, na mama Spika kama atafanya hivyo sidhani kama itamjenga. Mwanzilishi wa topic hii kama ana data azimwage hapa tuzifanyie kazi na si kumzushia mtu vitu vya uongo kwa kuwa mtazamo wako ni tofauti. Kila kiongozi hutengeneza safu yake, mwacheni apange timu yake akishindwa ndio tumrushie madongo. Tuanajuaje labda haya mapungufu tunayoyaona kwake ni kutokana na kuwa na timu inayomhujumu? maana Bunge kama taasisi hafanyi kazi peke yake ana washauri ambao ni watendaji wa bunge wakuu, kama bado wapo royal kwa spika aliyepita kwa nini asitafute anaodhani watamsaidia? Tumpe muda jamani.
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Apr 6, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Phewww!!!!
   
 12. Chimo

  Chimo JF-Expert Member

  #12
  Apr 6, 2011
  Joined: Aug 31, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  Nimependa sana ulivyojitahidi kufuatilia ukweli, Akhsante sana maana humu tumeshageuka kijiwe cha Majungu kama vile watu hawana kazi ya kufanya kila kukicha kupika Gossip jipya
   
 13. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #13
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,180
  Likes Received: 487
  Trophy Points: 180
  REKEBISHA HIYO SI (OFISI YAKE BINAFSI) NI OFISI YA UMMA WA WALIPA KODI WA TANZANIA,si vema anavyoitumia kwa maslahi binafsi.na walio lazimisha kwa nguvu ya ziada,ili kumsimika hapo.
   
 14. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #14
  Apr 6, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Support!!!
   
 15. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #15
  Apr 6, 2011
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Poor you!!! This is how the public office should be run? You mean each and every public officer once he/she assumes the new office should be transferring employee and bring new ones who are said to be royal to him/her? An employee should be royal to the office not to an individual.

  Upumbavu mtupu!!!!

  Tiba
   
 16. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #16
  Apr 6, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0


  Hapana mkuu, nadhani spoils system haifanyi kazi hivo. Kuna baadhi ya nafasi anapoingia boss mpya ni wazi atawabadilisha watendaji wake hasa wale watendaji wa kisiasa. Lakini hii haiwi sahihi kwa matechnocrats hawa mara nyingi hufanya kazi na boss awaye yeyote yule otherwise kama hao matechnocrats walikua politicised enough kiasi wakaacha political neurality wanayopaswa kuwa nayo. Kwa mfano wa Salva hauingii hapa kwani hafit category hii kidogo yeye ni mfano wa nafasi ambazo boss mpya anapaswa kubadilisha kwani nafasi yake ina play more or less political (propaganda/ideological)roles
   
 17. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #17
  Apr 6, 2011
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Unafiki tu! Huyu mama si ndiye aliyekuwa Naibu spika. Kwani watumishi hawa walikuwa ni wa Sitta? Ilikuwaje afanye kazi nao miaka yote na sasa ndo aonyeshe hawataki. Basi ni unafiki wake!
   
 18. T

  Triple DDD Senior Member

  #18
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwanza ukitaka kujua sifa ya mwanamke awe ameolewa na anaishi maisha ya ndoa na sio uhawara.
  Pili kuna vyeo by definition lazima uwe respected and socitey to accept you and not mafia mob.
  Tatu any promotion in working area because of nyumba ndogo au kada au kabila au dini ni hatari
  hakuna utachodeliver zaidi ya kumsifia PM Mizengo apigiwe makofi then MB Lema anadai haki ambayo
  unashindwa kuitimiza.
   
Loading...