Spika amtwisha Zitto Kabwe zigo la UDA

Spika amtwisha Zitto Kabwe zigo la UDA

maadili ya viongozi wetu hawana!!! wanataka tufe.....hii ni hasara ya kuingia madarakana kwa kuchakachua kura.....maana unajua hakuna haliyekuchagua bora ufanye utakavyo kwa walikupa nafasi hiyo mafisadi wenzako.
 
Hapa hii filamu ilipofikia wala hapanogi, wahusika wanazidi kuwa wengi mno hata inakuwa ngumu kujua yupi ndo muhusika mkuu!
 
ni sahihi kamati ya zitto kufanya uchunguzi wa UDA....

wote tunatambua kuwa kamati hii ndio kazi yake lakini kuna mwelekeo wa tume hii kutoweza kufanya kile taifa tunachokiitaji kwani mara baada ya CAG kuchunguza serikali itawafungulia kesi walioshiriki kabla ya kamati kujadili na wote tunajua jambo likishafikishwa mahakamani hakuna nafasi ya chombo kingine kulijadili tena, na makablasha ya kamati yatalala kabatini kungojea kesi kumalizika.

kuna kitu lazima ukitambue , hatusemi ya kuwa kamati hii isifanye kazi za kuchunguza UDA lakini si wakati huu kwani kutakuwa na mwingiliano wa kazi wa tume na kamati,

kamati ilistahili kufanya kazi baada ya kufahamu serikali kupitia kwa CAG wamefanya nini katika uchunguzi na nini maamuzi ya serikali , kwani ili lipo wazi kabisa kwa CAG anafahamika kwa utendaji wake na pindi tunapoingiza mikono mingine ni marudio ya kazi zile zile

kwa sasa taasisi zilizotumwa kuchunguza UDA ni kama zifuatazo

1.CAG

2.TAKUKURU

3.KAMATI YA ZITTO

4. Halmashauri ya jiji

5.Usalama wa taifa

je kwa mwenye kutazama kwa nini ifike wakati tukatumia mabilioni ya shillingi kufanya kitu kimoja wakati taifa linaupungufu mkubwa wa fedha na nchi inaelekea kwenye janga la ukosefu wa mafuta , kwanini tume zingine sisiende kwenye majanga mengine kama ukosefu wa mafuta

Katika hizo taasisi 1 - 5 ulizotaja ipi unaiamini/inaaminika na kwa kiwango gani?
 
1. CAG...........................75%

2.Kamati ya BUNGE......75%

3.halmashauri ya jiji.......40%

4.takukuru.......................45%

5. usalama...........................0%<usalama<85%
 
POAC ya Zitto pamoja na Wabunge wengine atakaowateua ni kazi bure tu. Taasisi ya UMMA kuchunguza taasisi nyingine ya UMMA ni dhihaka kwa kweli. Walipane hizo posho basi.
 
hata kama wafanyeje hilo bomu lingine kwa ccm maana wanalopoka kila mmoja analake hata mama makinda anaongopa kuingilia anamtupia Zitto lakini kweli utabaki milele wameiba na wamefisadi shirika hilo
 
Hivi ni kweli Mh. Mtemvu anafikiri kwa kutumia Maka..io! Zungu nae kumbe! Kweli hatuna Wabunge!
 
Hata Zitto naye tunaweza tusipate kile tunachokitegemea!! Tanzania ni nchi ya ajabu, viongozi wake bado wajabu ajabu, wananchi ndo usiseme. Tusubirini!
Acha majungu wewe. I trust the man. He is smart. Zito tunasubiri uozo wote utakaoukuta huko uuanika hadharani.
 
Tunaandaa maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubali kushiriki kwenye maandamano hayo. Tunataka watu wengi zaidi kujitokeza. Hii ni kumshinikiza huyu fisadi papa na mzururaji kushugulikia matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yatahitimishwa na kupokelewa na viongozikutoka United States Department. Tayari tumetuma maombi kupinga misaada marekani inayopa Tanzania, kwani hayasaidii Jamii bali Kikwete na genge lake la majambazi

Wote mnakaribishwa karibishwa. Maandamano ya Amani yanaruhusiwa marekani ilimradi mtu hajavunja sheria nchini. Ukiwa na makaratasi yako, njoo tulikomboe taifa letu. Ukombozi wa TANZANIA upo mikononi mwetu. Mabango yanachapishwa tarehe 24, Tunaomba mawazo tofauti kuhusu ujumbe tutakaobeba kwenye mabango yetu. Tumechoka na Kikwete, dawa nikuanza maandamano.Tupo tayari kufa sasa. Tunisia iliokolewa na watu tu kama sisi, tukifa bahati mbaya vizazi vijavyo vitafaidi. Tafadhali sambaza ujumbe. Tutatoa tamko rasmi ya maandalizi tarehe 20 mwenzi huu Ukitaka kushiriki tuma barua pepe Eliakim
Mallya@yahoo.com

Raia wa kawaida anayo haki ya kumfanya Kikwete Anyimwe VISA. Kwa Kupinga Ujio wa Kikwete, au yeye kunyimwa VISA tumeni emails nyingi iwezekanavyo kwenda East African Affairs Bureau. Email Adress
wiegertjr@sta
Ndugu mallya wewe ni mchaga wa wapi vile? Kishumundu? au?
 
Idd Simba - Ujiji Zitto Kabwe - Ujiji Talk abt kesi ya nyani....

Wa Kigoma mpoooo???????????????????
 
Tunaandaa maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubali kushiriki kwenye maandamano hayo. Tunataka watu wengi zaidi kujitokeza. Hii ni kumshinikiza huyu fisadi papa na mzururaji kushugulikia matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yatahitimishwa na kupokelewa na viongozikutoka United States Department. Tayari tumetuma maombi kupinga misaada marekani inayopa Tanzania, kwani hayasaidii Jamii bali Kikwete na genge lake la majambazi

Wote mnakaribishwa karibishwa. Maandamano ya Amani yanaruhusiwa marekani ilimradi mtu hajavunja sheria nchini. Ukiwa na makaratasi yako, njoo tulikomboe taifa letu. Ukombozi wa TANZANIA upo mikononi mwetu. Mabango yanachapishwa tarehe 24, Tunaomba mawazo tofauti kuhusu ujumbe tutakaobeba kwenye mabango yetu. Tumechoka na Kikwete, dawa nikuanza maandamano.Tupo tayari kufa sasa. Tunisia iliokolewa na watu tu kama sisi, tukifa bahati mbaya vizazi vijavyo vitafaidi. Tafadhali sambaza ujumbe. Tutatoa tamko rasmi ya maandalizi tarehe 20 mwenzi huu Ukitaka kushiriki tuma barua pepe EliakimMallya@yahoo.com

Raia wa kawaida anayo haki ya kumfanya Kikwete Anyimwe VISA. Kwa Kupinga Ujio wa Kikwete, au yeye kunyimwa VISA tumeni emails nyingi iwezekanavyo kwenda East African Affairs Bureau. Email Adress
wiegertjr@state.gov

Imekaa vizuri sana hii....

Tuko mbali lakini katika msimamo huu tuko pamoja!
 
halafu wewe mchaga uliehuko us mchango wako mbona haufanani na thread? Au ndo ukilaza unakusumbua?
 
Zitto K. jukumu hili ni kweli lina mambo yake asipojiangalia hapa watamtafutia tuhuma maana akipindisha mambo kaisha mambo yapo hadharani.
 
Tunaandaa maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubali kushiriki kwenye maandamano hayo. Tunataka watu wengi zaidi kujitokeza. Hii ni kumshinikiza huyu fisadi papa na mzururaji kushugulikia matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yatahitimishwa na kupokelewa na viongozikutoka United States Department. Tayari tumetuma maombi kupinga misaada marekani inayopa Tanzania, kwani hayasaidii Jamii bali Kikwete na genge lake la majambazi

Wote mnakaribishwa karibishwa. Maandamano ya Amani yanaruhusiwa marekani ilimradi mtu hajavunja sheria nchini. Ukiwa na makaratasi yako, njoo tulikomboe taifa letu. Ukombozi wa TANZANIA upo mikononi mwetu. Mabango yanachapishwa tarehe 24, Tunaomba mawazo tofauti kuhusu ujumbe tutakaobeba kwenye mabango yetu. Tumechoka na Kikwete, dawa nikuanza maandamano.Tupo tayari kufa sasa. Tunisia iliokolewa na watu tu kama sisi, tukifa bahati mbaya vizazi vijavyo vitafaidi. Tafadhali sambaza ujumbe. Tutatoa tamko rasmi ya maandalizi tarehe 20 mwenzi huu Ukitaka kushiriki tuma barua pepe EliakimMallya@yahoo.com

Raia wa kawaida anayo haki ya kumfanya Kikwete Anyimwe VISA. Kwa Kupinga Ujio wa Kikwete, au yeye kunyimwa VISA tumeni emails nyingi iwezekanavyo kwenda East African Affairs Bureau. Email Adress
wiegertjr@state.gov

Huku nyumbani watawala wetu wanakerwa na MAANDAMANO, hivyo wamemtuma Jaji Werema apeleke mswada wa kutengeneza sheria ya kuzuia maandamano, nafikiri mkifanikisha itakuwa somo zuri kwa Jaji Frederick Werema na Serikali yetu walioapa kulinda KATIBA ya Jamuhuri.
 
kipimo kingine kwa zito kama ataweza kufanya kazi hiyo kwa maslahi ya umma.
 
Taarifa zilizopo ni kwamba Mwenyekiti wa Kamati ya Miundombinu, akishirikiana na Makongoro Mahanga na Didas Masaburi walimfuata Mmiliki wa Simon Group na kudai rushwa ya shilingi milioni 200 ili kuzima soo hilo lakini kwa bahati mbaya sana kwa upande wao, soo hilo likawa limeibuliwa na wabunge pale mjengoni. Wao walitengeneza stori kwamba kati ya hiyo, shilingi milioni 100 walikuwa wampelekee kinara wao mmoja (mmoja wa viongozi waandamizi wastaafu) halafu iliyobaki walikuwa waitumie kuwalainisha wabunge. Nadhani hiyo hoja ya mgongano wa maslahi imewekwa kwenye mabano tu lakini hili nalo ni sababu maana mmiliki huyo alikuwa ameshaapa kuwalipua jamaa hawa.
 
POAC ya Zitto pamoja na Wabunge wengine atakaowateua ni kazi bure tu. Taasisi ya UMMA kuchunguza taasisi nyingine ya UMMA ni dhihaka kwa kweli. Walipane hizo posho basi.

Hizi ni hisia tu. Mbona Kamati ya Mwakyembe ilichunguza suala la Richmond na ilikuja na ripoti ambayo haikuwa nzuri kwa Taasisi ya umma? Mimi nafikiri kwa sasa hii ndiyo kamati pekee iliyo na uwezo wa kuja na ripoti ambayo itakuwa imezingatia ukweli na haki kwa pande zote mbili.
 
halafu wewe mchaga uliehuko us mchango wako mbona haufanani na thread? Au ndo ukilaza unakusumbua?

We ulichoambulia hapo ni uchaga tu?? Acha chuki za kikabila weee mpumbavu
 
Back
Top Bottom