Kwani CUF na NCCR Mageuzi ni vyama vya upinzani?mimi nakataa hivyo vyama ni CCM B• Asema kanuni haziruhusu, awashauri waungane na Chadema
SPIKA wa Bunge Anna Makinda amesema ni jambo lisilowezekana kuwepo na kambi zaidi ya moja ya upinzani bungeni.
Makinda alisema hayo alipokuwa akijibu swali la mwandishi wa gazeti hili aliyetaka kujua kanuni na sheria za Bunge kuhusu uundwaji wa kambi mbili za upinzani bungeni kama wanavyotaka kufanya wabunge wa Chama cha Wananchi wakishirikiana na wale wa NCCR-Mageuzi.
Juzi aliyekuwa kiongozi wa Kambi ya Upinzani wakati wa Bunge la tisa Hamad Rashid (CUF) na Mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila (NCCR-Mageuzi), waliungana kuweka azimio la kutaka kuwepo na kambi ya upinzani isiyo rasmi bungeni kwa madai kuwa CHADEMA imejitenga nao.
Akitoa ufafanuzi huo Dar es Salaam jana wakati wa semina ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Spika huyo alisema kambi ya upinzani inayotambuliwa kwa mujibu wa kanuni za Bunge ni moja hivyo kuwa na kambi nyingine ni jambo lisilowezekana.
Alisema utaratibu wa kuwa na kambi ya upinzani ni uwepo wa asilimia 12.5 ya wabunge wa upinzani bungeni ambao kwa mujibu wa kanuni za Bunge ndio wenye uwezo wa kuunda kambi hiyo.
"Ni vizuri hivyo vyama wabunge wao wakakaa pamoja ili kuwa na kambi yenye nguvu kwa wapinzani wote… ili kuwa na kambi ya upinzani ni lazima upate asilimia 12.5 sasa CHADEMA wamefanikiwa katika hilo, kinachotakiwa ni kuridhia kwa jambo hilo," alisema Spika huyo.
Aidha, alifafanua kwamba CHADEMA hawakukosea kuunda kambi ya upinzani lakini ni muhimu kuwa na kambi moja kama ilivyokuwa kwenye Bunge la tisa ambapo vyama vyote viliunda kambi moja yenye nguvu.
"…Unajua kazi kubwa ya upinzani ni kuhakikisha wanaibana serikali katika utendaji hivyo kitendo cha kutokuwa na kambi moja kutawafanya wabunge wengine kushindwa kujua sehemu kuunga mkono hoja mbalimbali zinazowasilishwa bungeni," alisema.
Wakati Spika Makinda akisema hayo, Mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mrema alisema viongozi wa chama hicho walikuwa kwenye kikao jana kujadili suala hilo na kwamba watatoa tamko lao mbele ya waandishi wa habari wakati wowote juma hili.
"Kwa sasa hatuwezi kulizungumza jambo hilo maana siku nzima ya jana tulikuwa tukifanya kikao na kati ya tulichokuwa tukijadili ni pamoja na jambo hilo ambapo tunategemea kukutana na waandishi kwa ajili ya kueleza tulipofikia," alisema Mrema.
My take: Kumbe Hamad alidokezwa juu ya jambo hili kuwa haiwezekani ndiyo maana sasa analazimisha kuungana na Chadema.
Kwani CUF na NCCR Mageuzi ni vyama vya upinzani?mimi nakataa hivyo vyama ni CCM B
Bora kilema cha nyundo kuliko kilema cha akili.Kama upinzani wataungana ,at least, wataipeleka puta CCM lakini kwa chama kimoja tu, tutegemee nyundo ya CCM itatumaliza au itatutia kilema.
• Asema kanuni haziruhusu, awashauri waungane na Chadema
SPIKA wa Bunge Anna Makinda amesema ni jambo lisilowezekana kuwepo na kambi zaidi ya moja ya upinzani bungeni.
Juzi aliyekuwa kiongozi wa Kambi ya Upinzani wakati wa Bunge la tisa Hamad Rashid (CUF) na Mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila (NCCR-Mageuzi), waliungana kuweka azimio la kutaka kuwepo na kambi ya upinzani isiyo rasmi bungeni kwa madai kuwa CHADEMA imejitenga nao.
Akitoa ufafanuzi huo Dar es Salaam jana wakati wa semina ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Spika huyo alisema kambi ya upinzani inayotambuliwa kwa mujibu wa kanuni za Bunge ni moja hivyo kuwa na kambi nyingine ni jambo lisilowezekana.
"Ni vizuri hivyo vyama wabunge wao wakakaa pamoja ili kuwa na kambi yenye nguvu kwa wapinzani wote… ili kuwa na kambi ya upinzani ni lazima upate asilimia 12.5 sasa CHADEMA wamefanikiwa katika hilo, kinachotakiwa ni kuridhia kwa jambo hilo," alisema Spika huyo.
Aidha, alifafanua kwamba CHADEMA hawakukosea kuunda kambi ya upinzani lakini ni muhimu kuwa na kambi moja kama ilivyokuwa kwenye Bunge la tisa ambapo vyama vyote viliunda kambi moja yenye nguvu.
My take: Kumbe Hamad alidokezwa juu ya jambo hili kuwa haiwezekani ndiyo maana sasa analazimisha kuungana na Chadema.
Angekuwani spika wa Uingereza labda ningekubali kuwa ana nia nzuri na upinzani lakini huyuhuyu Makinda wa tanzania umesahau juzi alivyowabeza Chadema wakati anachaguliwa ndiye huyuhuyu anatoa ushauri, kwa mtu makini wala sihangaishi akili yangu kuelewa lengo lake.Mkuu,
Kama CCM wangeona kuwa kuwa na kambi mbili bungeni kuna maslahi zaidi kwao, wangekimbilia kubadilisha kanuni kuruhusu hilo.
CCM wanatumia huu msuguano na kutokuaminiana kwa vyama vya upinzani kama njia bora ya wao kukaa pembeni na kuchekelea upinzani wanavyohujumiana. Lakini pia wanajua kwa mazingira yaliyopo basi ni nafuu kwao kukishughulikia chama kimoja kimoja.
Nafikiri upinzani walione hili.
Makinda bila ya kujua pengine amewapa rai nzuri upinzani kuwa uungane ili nguvu yao iwe inaitoa serikali usingizini. Kwa CHADEMA kukataa ushauri huu basi watakuwa wamejiweka katika nafasi ya kukabiliana na CCM pekee na historia tokea 1995 inaonesha kuwa kila cha cha upinzani chenye nguvu kinapojitosa peke yake kupambana na CCM muhula unaofuata kinaibuka majeruhi.
Vizuri juhudi zichukuliwe ku-heal majeraha na machungu ya uchaguzi na vyama vifanye kazi kwa kushirikiana. kwa uhalisia wa vyama vya upinzani TZ bado hakuna chama ambacho ni "king" mbele ya CCM.
Mheshimiwa Spika huyu mama nasubiri Bunge lianze nione atakavyokuwa mbabe
Itakuwa ngumu safari hii,manake huko upinzani watu sheria na kanuni wanazijua TF wanaweza mzidi experience anayojivunia......
Mi nafikiri CHADEMA wawakubali hao NCCR,TLP,CUF,wakileta ujinga kuna vifungu vinaruhusu kuwaondoa kama ilivyokuwa kwa John Cheyo,tatizo ni kuwa hivi vyama haviaminiki,watu wana hila zao za kisiasa,i can understand CHADEMA hesitation to work with this guys but it worth trying working together.[/QUOTE Hawaaminiki,bora kuwa na watu wachache wenye uchungu wakweli kama CDM in bunge la spika Sitta (bunge la 9),wingi huana maana kama hakuna uzalendo, HAMAD ni mtu hatari kwa bara.CUF haijawai kuipa CDM ofa bali walibanwa na kanuni, walimpa ofa UDP in 1995-2000 if am not mistakeni
Hamad aache usanii hii nchi sasa hivi hakuna mtu mjinga,huwezi kuwa ndani ya serikali znz eti bara uwe mpinzani,huo ni uongo na unafiki
Makinda alisema hayo alipokuwa akijibu swali la mwandishi wa gazeti hili aliyetaka kujua kanuni na sheria za Bunge kuhusu uundwaji wa kambi mbili za upinzani bungeni kama wanavyotaka kufanya wabunge wa Chama cha Wananchi wakishirikiana na wale wa NCCR-Mageuzi.
Juzi aliyekuwa kiongozi wa Kambi ya Upinzani wakati wa Bunge la tisa Hamad Rashid (CUF) na Mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila (NCCR-Mageuzi), waliungana kuweka azimio la kutaka kuwepo na kambi ya upinzani isiyo rasmi bungeni kwa madai kuwa CHADEMA imejitenga nao.
Akitoa ufafanuzi huo Dar es Salaam jana wakati wa semina ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Spika huyo alisema kambi ya upinzani inayotambuliwa kwa mujibu wa kanuni za Bunge ni moja hivyo kuwa na kambi nyingine ni jambo lisilowezekana.
[[/QUOTE Hawaaminiki,bora kuwa na watu wachache wenye uchungu wakweli kama CDM in bunge la spika Sitta (bunge la 9),wingi huana maana kama hakuna uzalendo, HAMAD ni mtu hatari kwa bara.CUF haijawai kuipa CDM ofa bali walibanwa na kanuni, walimpa ofa UDP in 1995-2000 if am not mistakeni
Itakuwa ngumu safari hii,manake huko upinzani watu sheria na kanuni wanazijua TF wanaweza mzidi experience anayojivunia......
Mi nafikiri CHADEMA wawakubali hao NCCR,TLP,CUF,wakileta ujinga kuna vifungu vinaruhusu kuwaondoa kama ilivyokuwa kwa John Cheyo,tatizo ni kuwa hivi vyama haviaminiki,watu wana hila zao za kisiasa,i can understand CHADEMA hesitation to work with this guys but it worth trying working together.
spika makinda ameshazungumza na CUF+NCCR kuwa waende CDM ili waaribu na kuvujisha siri za kambi ya upinzani, hamna haja CDM kuungana na hao jamaa.