Spesho kwa wakopaji na wadaiwa sugu

Avatar

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
11,127
11,908
cc756ed599339746ca4c5c6009dd16d2.jpg
 
Kudaiwa ni motivation ya kufanya kazi kwa bidii huoni hata kina bakhressa wana mahela kibao kulipia biashara mpya wanazoanzisha ila bado wanaombaga capital bank!
 
Kudaiwa ni motivation ya kufanya kazi kwa bidii huoni hata kina bakhressa wana mahela kibao kulipia biashara mpya wanazoanzisha ila bado wanaombaga capital bank!
Taja Bank ambayo SSB kaenda kuomba capital.
 
Utajiri utausikia kwa watu tu Kama unaogopa kudaiwa.

Sio kudaiwa nyanya na nazi kwa muuza genge.

Ni kweli mkuu, kuna ishu mbili hapa kudaiwa na kukopa.

Ukiwa unakopa na unafanyia Mambo mazuri ya kujenga na unarudisha hela za watu, basi mkopo unasahidia sana.

Kuna wale wanaokopa alafu wabishi kurejesha
 
Back
Top Bottom