BAOSITA
JF-Expert Member
- Nov 2, 2011
- 368
- 188
Hawa Tigo wanashangaza sana,tangu wiki iliyopita wafanye marekebisho ya mtandao wao kilichobaki kwa wengine ni uozo mtupu!Kwa yale maeneo kuanzia Ubungo kurudi Kimara,Tigo inashika 3G signals zaidi ya Bar 3 na sometimes full lakini ukicheki speed ni exactly ya GPRS/EDGE!!Sasa,hii ni danganya toto ama nini?Wengine tumejiunga na package ya Max tushushie mafile makubwa sasa ni week nzima nakumbana na downloads zisizozidi 20KB kwenye IDM.
N.B Nimeextend mpaka modem juu ya paa kama antenna lakini speed bado!Nimetest kwa jirani zangu pia the same **** happens!
Nambieni wengine mlio maeneo hayo speed zenu zikoje.
N.B Nimeextend mpaka modem juu ya paa kama antenna lakini speed bado!Nimetest kwa jirani zangu pia the same **** happens!
Nambieni wengine mlio maeneo hayo speed zenu zikoje.