mkuu hiyo ya 7500 kwa week plus ndio ninayotumia lakini kamwe siwezi kufikia hito speed ya uncle rukus,Tigo raha kwa kweli,Lakini sasatel nao raha lakini ununue bandle ya 7500 kwa wiki zote natumia na ni safi,sema inategemea na eneo pia
hello brother mbona mie nalipia ile package ya 45 elfu kwa mwezi, lakini maximum speed ni 80kb per second . hata msn camera chat inakwama. nipo maeneo ya vingunguti. au walioniuzia modem ya tigo wamenipa line sio. i mean hai support speed kubwa?
chini kulia hapa kwenye icon speed inaonekana ni 3.6Mbps. lakini lakini kwenye application ya tigo ni ndogo tu.
hebu nipe maujanja nifike hukoo kwenye spidi yako....
hello brother mbona mie nalipia ile package ya 45 elfu kwa mwezi, lakini maximum speed ni 80kb per second . hata msn camera chat inakwama. nipo maeneo ya vingunguti. au walioniuzia modem ya tigo wamenipa line sio. i mean hai support speed kubwa?
chini kulia hapa kwenye icon speed inaonekana ni 3.6Mbps. lakini lakini kwenye application ya tigo ni ndogo tu.
hebu nipe maujanja nifike hukoo kwenye spidi yako....
Uncle Rukus you are working with TiGo in Marketing, if not, they had better hire you.
Just bought TiGo Standard Month package after reading your post, never downloaded above 175kbps. Where did you get the speed you mentioned? or you must be the odd lucky one, it took me more than 4 hours to download an update of my bb.
Mmmh! hii topic imeniweka kwenye wakati mgumu sana, nimejaribu kuwaaminisha watu kuwa mimi siyo mfanyakazi wa tigo na bado naona hamnielewi, nimejibu kwenye post zangu za awali kuwa mimi siyo mfanyakazi wa tigo na wala sinufaiki na chochote na mtandao huu zaidi ja kuwa ni mteja wao tu....
Kabla ya kulalamika ni lazima ujue vitu viwili kwenye haya mambo ya data, lazima uwe sehemu ambayo unaipata 3g/HSPDA ambapo kama unapata coverage hii ni lazima speed yako iwe ya kasi... Ndugu nikuulize je hiyo BB yako ina 3G? kama haina basi kamwe uwezi fikia speed nayoipata mimi kwenye modem yangu....
Naomba unijulishe umejiunga na standard month ya tsh ngapi? maana ziko nyingi hadi ya elfu 900 ambazo ni maalumu kwa matumizi ya simu na nadhani kasi yake ni ndogo.....
Uncle unaenjoy speed hiyo kwasbb kwenye eneo lako watumiaji mko wachache.......ninachoelewa mm ni kuwa hiyo bandwidth ni shared, kwa maana watumiaji wakiwa 100 at a time na wengine wakawa 500 (other factrors remain constant) wale walioko 500 wataexperience slow speed.
Japo inawezekana kuwa set up ya network (no. of E1s) kwa site moja ni kubwa kulinganisha na netwok nyingine ndio maana unapata dowload speed kubwa..........ila all in all speed itaendelea kupungua kadri wateja wanavyoongezeka, but for now keep enjoying
HSDPA naipata tena nna bar 5 most of the time. Sikuiunganisha hiyo modem kwenye bb yangu, ipo independent (modem) haina uhusiano na bb, nilidownload tu upadate ya software ya BB na si kwa kupitia BB hata ingekuwa hivyo BB ni 3G. Package yangu ni Standard Month ya 45,000/=.
Mkuu, mimi shughuli zangu nafanyia hapa town, posta,KKOO,kurasini na masaki, na home ni Tegeta, na kote huko napata 3g, home huwa ni EDGE ila uilazimisha kuvuta mawimbi ya HSPDA kwa kuselect setting zake, na uwa inapatikana kwa bar 1 ambayo haijatulia na bado speed napata the same na napokuwa mitaa ya town ambako kuna watu wengi wanaotumia huduma hii! ...
kaka mie naweza kukubaliana na wewe, rukus ana furaha sana labda mnaweza kunisaidia, mimi nipo hapa segerea tu, lakini nikiweka tigo, God forbid, speed ni kinyonga hata website simple tu haziji kwa haraka, nikija town wao, napata speed nzuri, je tigo inakuwa na speed tofauti katika minara iliyo baadhi ya sehemu, hasa nje ya mji labda huko rukus anapoisha minara ni ya HSDPA ...hehehe angekula kimya kimya!
Mkuu, unapata Unapata EDGE au HSPDA? Kama ni HSPDA lazima upate speed kubwa mkuu ambayo angalau inafikia 2.mbps....
Na kama unapata EDGE sahau kusuhu speed yako itakuwa inacheza kwenye 250/300kbps.
Uncle Rukus,hyo 3G ya tigo inapatikana dar peke yake?mbona niko Mwanza city centre siipati,mwenye kujua coverage areas aniambie ili nisisumbuke kupoteza hela za bure!
Mitandao mingi hapa TZ 3G huwa inapatika mijini, lazima tuwe wakweli, na kam ukibahatika kama rukus basi ndo maeneo fulani unaweza kuwa na 3g out of town, na pengine tusikatae anayosema rukus, kwan yey ni mteja wa tagu mobite kama alivyosema mwenyewe, kwa hiyo tigo wanweza wakawa wampa compement kwa kuwa royal customer