Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Naomba nielezee kidogo kuhusu tofauti kati ya kbps-kilobitspersecond na KBps-kilobytespersecond kama ninavyoelewa! Connection speed ya internet siku zote huandikwa in kbps, mbps au gbps. Lakini data transfers speed (actual speed ambayo file lako llinakuwa received na computer yako) siku zote huwa in KBps, MBps au GBps. Kama virefu vinavyoonyesha hapo juu kuna maneno mawili yanayotofautiana ambayo ni bits na bytes. kwenye connection speed wanatumia neno bits while kwenye download speed wanatumia neno bytes. kwakuwa yote yanaanza na herufi b, ili kutofautisha vifupi, yenye bits itakuwa na herufi ndogo tu while yenye bytes itakuwa na herufi kubwa mbili za mwanzo(KB/MB/GB). Hayo ni makubaliano tu.
Another important fact ni kuwa bits na bytes ni quantity of data. yani kama uzito kuna kilogram, miligram etc. we know 1 kilogram = 1000 gram! kwenye data transfer 1 byte = 8 bits.
Kwahiyo ukiona connection speed ya 2.5 mbps then gawanya kwa 8 to get the rate in bytes yaani MBps. Kwa hapa unapata 0.3125Mbps Changing that to KBps ni 376.25 (0.3125 x 1024). Hii inamaanisha at the connection ya 2.5 mbps unatakiwa upate up a MAXIMUM of 376.25 KBps ya download speed (actual speed ya kureceive file).
CONCLUSION AND QUESTION:
from the info bwana uncle umekaribia kuniconvice nihamie tigo ila jambo moja tu! the only company i know wanaotoa ulimited internet ni VODACOM TU! Everybody else anatoa bundle ie unatoa kiasi fulani cha pesa unapata kiasi fulani kama 2500 tzs kwa 400mb za aitel. Wewe umesema hujui ni kiasi gani na nimewahi kuwapigia wakasema hawawezi kuniambia (sijui kwa sababu zipi) UMESHADOWNLOAD GB NGAPI SINCE ULIVYOJIUNGA NA HIYO BUNDLE! Umefika 20+ GB?
Thank YOu!
Kuna watu walikuwa wanabisha wanasema huwezi pata speed kama hii kwa Tanzania... nimejiunga na package ya standard mwezi tsh 45,000
Mkuu nimejiunga na package ya standard mwezi, ambayo nalipia tsh 45,000 kwa wezi. hack gani? yaani unataka kuniambia nimepata hiyo speed ya net kwa kuhack ma-router/server za tigo? hah hah hah hapana mkuu....Nipo maeneo ya tegeta na 3g, napata ka-bar 1 tu ka signal.weye brother unaesifu tigo umeunganisha bundle gani? na upo maeneo gani? au kwa kirefu zaidi umetumia HACK gani?
Mkuu, mimi sijui cha limitations wala makorokoro mengine, mimi nimechukua net ya mwezi mzima na naipata hivyo hivyo na speed hiyo, hakuna limit kwenye download wala nini... kitu nikijuinga tarehe moja june kwisha kwake hadi tarehe moja july...hiyo standard mwezi limitations zake ni zipi?? unlimited nn'..
Hebu fanyeni utafiti...fungua dashboard yako uone kwa pale chini speed inayoingia na kutoka, voda huwa inafika hadi 3.5 mbps lakini hebu jaribu kudonload kitu hata 200kbps haifiki mi huwa nashangaa kwa nini kwenye dashboard inasoma spidi kubwa halafu wewe mtumiaji unakuwa unapata spidi kidogo!
NOW NIMEKUPATA MKUU KITU KIDOGO SANA KILIKUWA KINANICHANGANYA NLIKUWA NADHANI Mbps na MBps ni sawa kumbe ni tofauti now i know the difference.
Mkuu hebu dadafua kidogo tofauti ya kb/ps na kB/ps kisha linganisha hizo kila moja ni sawa na mb ngapi?Mkuu, haiwezekani kwenye dashboard isome 3.5mbps alafu download speed yake isifike 200kb/sec, kama kwenye dashboard inafika 3.5mbps download speed yake itasheza kwenye 350kbps hiyo ndio inatakiwe iwe hivyo...na kama sivyo basi kutakuwa na vitu vingi vina tumia net yako kwenye computer....angalia Kwenye picha zangu hapa chini...
Ukiangalia kwenye dashboard yangu utaona napata speed ya 2.5mbps, na ukiangalia kwa juu yake upande wakushoto utaona pop window ya vuze ikidownload na speed yake ni 257KB/se ambayo inaendana na ile nayoipata kwenye dashboard ya tigo, kumbuka kunatofauti kati ya Kbps na KBps ninge kufafanunia zaid sema nakimbia sehemu... nitarudi baadae.
Nadhani ulikuwa unamaanisha kbps na kBpsNOW NIMEKUPATA MKUU KITU KIDOGO SANA KILIKUWA KINANICHANGANYA NLIKUWA NADHANI Mbps na MBps ni sawa kumbe ni tofauti now i know the difference.