Wewe utakuwa ni meneja wa Airtel unatoa promo baada ya wizi wenu wa kupandisha bei ya vifurushi kinyemela. Na umepewa ofa ya ofisini ndiyo maana unatumia data ku download vitu vya kijinga kama Maigizo ya kibongo bongo... Eti siri ya mtungi. Ptuh! Mtu aliyetoa hela yake hawezi kuchoma bundle kwa bongo muvi. Hata kama una download kwa ajili ya girlfriend wako