donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
Kwani huu umaskini umeanza leo au JK ndiyo kaingia kwenye 'uongozi' leo? Au alikuwa anangoja hadi awe Rais ndiye auone umaskini, halafu umnyime usingizi!
Pia inategemea umaskini wa 'watu wake wapi' anaouzungumzia!
Wale watu wake wanaopiga risasi wengine au wale watu wake wanopigwa risasi?
Watu wake wanaokula Richmond au watu wake wanaolizwa na madhara ya Richmond?
Watu wake (Msolla & Co) au watu wake (Wanafunzi wa Ukraine, UDSM, etc)?
Watu wake Nchimbi na Chitalilo (elimu fake) au watu wake wa-machinga (bora elimu na si elimu bora).
Kwa wenzangu hapo juu mnaolalamikia u-rais wa JK na kasoro zake, naona mna mantiki kuwa JK aliutaka u-rais ili aweze kuutumia ipasavyo.
Je, hakuna uwezekano kuwa labda JK aliutaka u-Rais just for the sake of kuwa Rais (Wajukuu waseme kuwa babu aliishawahi kuwa Rais wa Tanzania), bila kujua kuwa atafanya nini akiwa Rais?
airtel ni bei tu mi soon nahamia vodaHiyo ndogo sana kwa Airtel mkubwa
Airtel wana Peak mpaka 2.5MB/sec ila walau 2MB/s(16Mbps) ni Must
Bila shaka simu yako ina HSPA+ enabled
Pia siku nyingine ukitaka Kutengeneza picha ya kushare na watu ya Camera sio nzuri jaribu kutumia "Snipping tool" ni nzuri sana na inaonesha picha more clear than ulio post
Kama unataka Unafuu wa internet nafikiri Halotel ni nafuu zaidi...assuming hauongelei matumizi ya simuairtel ni bei tu mi soon nahamia voda
Mkuu ushawahi tumia halotel? Hutorud voda tena...ila voda wazur kulinganisha na airtel na tigoWakuu, nimetembea tembea baadhi ya mitandao ila kwa kweli kwa hii speed ya Vodacom kwa sasa inanifanya nisite kuhamia mtandao mwingine kwa maana natumia hotspot ya simu yangu kuaccess kwenye mashine lakini inanifanya niendelee kufurahi na kushusha madude.
View attachment 198818
Jamaa hatar sana...huwa nashusha pc gaming sana kwa kutumia halotelYaani mi halotel napata 14mb/sec siku hiyo nilidownload 66mb per minute