claudematemu
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 316
- 480
Halotel wako vizuri mnoo speed inasoma 35.8 mbsp
NdioKweli?
HapanaaUpo karibu na makao makuu yao nini?
4.3 ? Hapo umecalculate vip wakati inafika mpaka mbps 6 nikidownloadHiyo ni 4.3 MB per sec tu...sio ya kustua mkuu au umepagawa na Mbs hizo?
Speed ina flactuate...hyo uloshare 35Mb ni 4.3MBs tu..kwaiyo 6 unayofika nayo haigandi...so sio wabaya ila ni speed tulizozizoea sie wapenda speed nzur4.3 ? Hapo umecalculate vip wakati inafika mpaka mbps 6 nikidownload
Ni kwereeeView attachment 1963198
Hawa ni Vodacom..
Kuna tofauti kati ya MB (Megabytes) na Mb (Megabits)4.3 ? Hapo umecalculate vip wakati inafika mpaka mbps 6 nikidownload
8.6MB/sView attachment 1963198
Hawa ni Vodacom..
Halotel maana ni affordableMnatuchanganya tuamie voda au halotel?
Angalia mwenye speed nzur eneo lakoMnatuchanganya tuamie voda au halotel?
1Byte (B)= 8bits (b) and hence 1MB = 8MbKuna tofauti kati ya MB (Megabytes) na Mb (Megabits)
Mathematically
1MB = 8Mb
So hapo 35.8Mbps ÷ 8 = 4.475
Hapo ana speed ya (approximately)
[emoji117] 5MBps
Simu nyingi zinatumia kipimo cha internet speed meter ya Mbps, We mwambie tu a connect kwenye PC afu atumie ku download kitu na IDM afu alete speed ya IDM kama itakua sawa na hiyo.
Pole sanaNi huzuni kwakweliiView attachment 1963512