kluger
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,093
- 1,897
Salaam kwenu,
Najiuliza sana hivi ni haki sehemu ya KM 35 kuwa na speed limit points Kama 10+???
Kwa nini mnaruhusu viijiji na centres karibu na highways??
Je mnafahamu highways ni njia muhimu sana katika shughuli za uchumi kuliko hivyo viijiji vya wauza mkaa??? Yaani kijiji kipo barabarani shughuli yao kuu kukata na kuuza mikaa, na barabara inapitisha mafuta Kwa ajili ya nishati mbalimbali vile vile abiria /wataalamu mbalimbali toka sehemu moja kwenda nyingine.
Si pingi wengine kuishi katika vijiji hivyo, la hasha, point yangu Je umuhimu wa highways na kuzilinda serikali hii inatilia mkazo?? Au ndiyo kitega uchumi cha Polisi??
Kwa nini vijiji hivyo katika highways nyingi wanakata miti na kugeuza nchi jangwa na nyingi mawaziri na viongozi mbalimbali ndiyo wateja wakuu wa mikaa tena Kwa kutumia mashangingi ya serikali hiyo hiyo mnaojidai kulinda misitu yetu??
Umbali wa kutumia masaa manne, sasa tunatumia masaa saba, sababu zikiwa hizi speed limits. Tunaendesha magari Kwa taabu kila mahali speed limit, hao maaskari kila kuukicha akili zao zipo barabarani, kazi kujificha vichakani ili watukamate Kwa kuvizia, hv nani kawaambia mkizuia speeds ndiyo kuzuia ajali?? Mbona pamoja na kujaza hayo matochi yenu bado ajali ni nyingi?? Hamuoni kuwa sasa ni wakati wa kufikiri nje ya box na kupata mbinu mpya kudhibiti hizi ajali bila kujaza hayo ma speed limit???
Je nyinyi askari ni kweli mnania ya kupunguza ajali Au ni chanzo chenu kikuu cha mapato??
Kwa kweli jambo hili linanikera sana, kila kitu nchi hii ni business as usual.
Kama speeds na mikusanyiko ya watu ndiyo chanzo cha ajali, basi barabara zote za mijini ziwe na speed limits. Mfano kuanzia kurasini Mandela Road yote mpka ubungo speed iwe ni 50 na mkae na hizo tochi zenu.