Speech ya Kikwete Davos- World Economic Forum--Tatizo nini?

Speech ya Kikwete Davos- World Economic Forum--Tatizo nini?

Bora hata huyo alijitahidi sana hata kwa hayo aliyorukaruka nayo, JE huyu tuliyenaye anaweza hata ku jump jump kama alivyo do JK??????.
 
Matajiri wenye viwanda vvikubwa ulimwenguni wapo Davos. Na kama kweli haya matamko ya uchumi wa viwanda yanatoka mioyoni mwao kikao hiki ni fursa muhimu ya kupata wawekezaji lakkni badala yake mtu kajifungia ikulu huku akitapika povu la ubabe na vitisho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hayo makosa madogo sana hata Obama anaweza kufanya kwenye speech la muhimu mi speech context
 
Back
Top Bottom