Specialist huyu (gastroentelogisty) anahitajika

SILENT WHISPER

JF-Expert Member
Jun 26, 2009
2,209
1,225
Nina tatizo la tumbo nimeambiwa nimuone mtaalam huyu. hospitali gani anapatikana?

Thanks in advance.
 
Mkuu wa chuo

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
7,290
2,000
Nenda Muhimbili wapo hapo wanapatikana, kule Gastroentelogy jengo la watoto nadhani utawapata tu...
 
mkuyati og

JF-Expert Member
Apr 19, 2011
819
1,000
Nenda Muhimbili wapo hapo wanapatikana, kule Gastroentelogy jengo la watoto nadhani utawapata tu...

uko serious? jengo la watoto tena? mkuu wa chuo hebu fanya homework yako.
na sio gastroentology,, ni "gastroenterologist".. unajua kazi yake?
 
Mkuu wa chuo

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
7,290
2,000
uko serious? jengo la watoto tena? mkuu wa chuo hebu fanya homework yako.
na sio gastroentology,, ni "gastroenterologist".. unajua kazi yake?
gastroenterologist ni specialist wa matumbo, pale Muhimbili floor ya pili jengo la watoto kuna kitengo cha gastroentology, kwani akienda kuulizia pale gastroentology hawezi kumpata huyo mtaalamu,kwasababu gastroentologist ni mtu, halafu pale Muhimbili si ndio kuna wataalam Tanzania nzima hakuna, halafu unaposema nipo serious kwani hili jukwaa ni la jokes?

Au kwa wewe huyu mtaalamu anaweza akapatikana wapi umsaidie? kwasababu naonekana sipo serious...
 
Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,087
2,000
Nina tatizo la tumbo nimeambiwa nimuone mtaalam huyu. hospitali gani anapatikana?

Thanks in advance.

0755 085 586 mpigie huyo,anaitwa dk mgaya,yeye ni specialist wa Wanawake pale muhimbili,ila ana klinic yake pale mbuyuni na anakuwepo kila jioni kuanzia saa kumi,ni dokta mzuri sana na mtaalamu,

Kila la heri,utupe feedback
 
SILENT WHISPER

JF-Expert Member
Jun 26, 2009
2,209
1,225
0755 085 586 mpigie huyo,anaitwa dk mgaya,yeye ni specialist wa Wanawake pale muhimbili,ila ana klinic yake pale mbuyuni na anakuwepo kila jioni kuanzia saa kumi,ni dokta mzuri sana na mtaalamu,

Kila la heri,utupe feedback

thnx alot...! ubarikiwe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom