The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,444
Ni aibu really,AFRICA NA UCHAGUZI,,AIBU TU
Ni kweli hataki kutoka lakini hawa wengine hua hawapigi mahesabu mapema, waanza mchakato saivi wakati ishu inatakiwa ianzwe miaka michache nyuma.Karia hataki kung'ooka hapo Tiefuefu
😂Nukuu toka kwa Richard Shija:
"Rais aliyepo madarakani anapochukua Endorsement zote maana yake anazuia wagombea wasiingie kwenye uchaguzi"
Kila mgombea urais anatakiwa awe na wadhamini si chini ya watano, ambao ni vyama wanachama vya mikoa, klabu za Ligi Kuu, na vyama shirikishi kama cha waamuzi, makocha, madaktari na wachezaji.😂
Zinachukuliwaje?
😂Kila mgombea urais anatakiwa awe na wadhamini si chini ya watano, ambao ni vyama wanachama vya mikoa, klabu za Ligi Kuu, na vyama shirikishi kama cha waamuzi, makocha, madaktari na wachezaji.
Sasa kinachofanyika ni kuwahi wadhamini wote halafu wengine wanakosa wadhamini.
Mfano,
Saivi inaonekana Rais wa sasa anamiliki endorsement 47 ina maana wengine wakitafuta wadhamini tayari wamechukuliwa na mmoja hivyo unakosa wakati utaratibu unasema angalau watano tu inatosha lakini watu wanafanya umafia na wengine wanakosa.
🤩Ni kweli hataki kutoka lakini hawa wengine hua hawapigi mahesabu mapema, waanza mchakato saivi wakati ishu inatakiwa ianzwe miaka michache nyuma.
Wanapo kuja kushtuka, tayari mambo yamesha malizika
Hataki?Karia hataki kung'ooka hapo Tiefuefu