Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Mkuu duka lako linapatikana wapi?? Na guarantee muda gani???
Boss wangu sina duka, ni mtu wa kuja na mzgo na kuondka. Hutegemea ratiba yangu, dar hupatikana ubungo lakini kwa walio mikoani wote mzgo unafika. Kwasasa nipo Dubai. Na sio flat tu hata vifaa km laptop, simu, Magar natuma Kwa Bei rahis. Tv warranty ni Miezi sita
 

Attachments

  • IMG-20190811-WA0006.jpeg
    63.7 KB · Views: 33
Laptop ya bei rahisi kwa matumizi ya nyumbani napata kwa bei gani?... Yoyote nzuri ambaya haina makando kando
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…