Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Mkuu duka lako linapatikana wapi?? Na guarantee muda gani???
Boss wangu sina duka, ni mtu wa kuja na mzgo na kuondka. Hutegemea ratiba yangu, dar hupatikana ubungo lakini kwa walio mikoani wote mzgo unafika. Kwasasa nipo Dubai. Na sio flat tu hata vifaa km laptop, simu, Magar natuma Kwa Bei rahis. Tv warranty ni Miezi sita
IMG-20190811-WA0006.jpeg
 

Attachments

  • IMG-20190811-WA0006.jpeg
    IMG-20190811-WA0006.jpeg
    63.7 KB · Views: 33
Boss wangu sina duka, ni mtu wa kuja na mzgo na kuondka. Hutegemea ratiba yangu, dar hupatikana ubungo lakini kwa walio mikoani wote mzgo unafika. Kwasasa nipo Dubai. Na sio flat tu hata vifaa km laptop, simu, Magar natuma Kwa Bei rahis. Tv warranty ni Miezi sita View attachment 1178262
Laptop ya bei rahisi kwa matumizi ya nyumbani napata kwa bei gani?... Yoyote nzuri ambaya haina makando kando
 

Similar Discussions

27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom