Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,184
- 4,538
Duu kwanini mie viwanda vyakiafrika sivielewi elewi ni kweli kabisa kua zina uimara bora kama zile za ulaya wenyeweHiyo ni Egypt
Duu kwanini mie viwanda vyakiafrika sivielewi elewi ni kweli kabisa kua zina uimara bora kama zile za ulaya wenyeweHiyo ni Egypt
Star x led 24" kwa 220000250k ipo mfuko wa shati naweta pata TV aina gani na inch ngapi
Ofisi ipo wapi mkuu tufanye biasharaStar x led 24" kwa 220000
Yupo zanzibarOfisi ipo wapi mkuu tufanye biashara
Hiv mkuu curved nch 35 yoyote bei ganiOfisi ipo wapi mkuu tufanye biashara
Hamna mkuu size hiyoHiv mkuu curved nch 35 yoyote bei gani
Inatokaje huo we Boss mtoto hebu funguka kwanzaDar nyengn, ni hisense smart 43", humo screen mirror, YouTube na kila kitu kasoro roho tu, kesho mapema pokea mdau ujionee tofautiView attachment 1172851View attachment 1172856
Hahahhah 650000 mkuuInatokaje huo we Boss mtoto hebu funguka kwanza
Hakuna ya 32 "mkuu na kama ipo bei ikojeDar nyengn, ni hisense smart 43", humo screen mirror, YouTube na kila kitu kasoro roho tu, kesho mapema pokea mdau ujionee tofautiView attachment 1172851View attachment 1172856
IPO Mr UK nchi 24 Laki mbili na 10 njoo mbezi beach250k ipo mfuko wa shati naweta pata TV aina gani na inch ngapi
32" ilio smart hamnaHakuna ya 32 "mkuu na kama ipo bei ikoje
Fanya subira mzigo upo njiani ntakuuzia kwa 420000 tu mpka darLg 32” bei gani boss mpaka kufika Dar
Nimefatlia comments zako zote; nakuona tuu!Mkuu hizo lg zinakua ni made on wapi boss
Kivipi mkuuNimefatlia comments zako zote; nakuona tuu!