Tecnology inaibwa mkuu wala usihofu.Mapna Group! Hii ni kampuni kubwa ya Iran inayotengeneza mitambo mbalimbali km Treni, vifaa vya umeme, Turbines, na ina project kubwa ktk nchi mbalimbali wa kutengeneza umeme wa Gas mfano Iran,Irak, Venezuela nk... Kati ya Technical know how waliyoweza kua nayo ni kutengeneza Turbines za Gas ili kuzalisha umeme ikombukwe ni Germany na nchi chache sana za Ulaya na China zenye kutengeneza Turbines.. Turbines ni km engine za Ndege... Ikumbukwe baada ya Mzozo wa Russia Vs Ukraine Nchi za Ulaya na US imeziwekea Russia vikwazo vya Turbines kwan Russia hana amekua akitemgea Turbines miaka yote toka Kampuni ya Siemens ya German... Sasa Russia amehamia Iran tena baada ya drone
.
Tehran will supply 40 gas Turbines to Russia.. Apa wazungu vichwa vimewauma sana kua huyu muhajeni amewezaje kua na technology ya Turbines?View attachment 2422147View attachment 2422148View attachment 2422145View attachment 2422146View attachment 2422149View attachment 2422150
View attachment 2422152
Aliyekwambia Waajemi ni Waarabu mpeleke Mirembe haraka sana apewe methadone kwa afya ya akili.akili kubwa waajemi, sio waarabu kuchomeana na baba yao tu kule mji mpya kila siku
Siku Bongo tukiiba hata technology ya kutengeneza teeth sticks industry na kutotegemea bidhaa zitokazo nnje ya nchi zaidi hata kwa 50% tu ndipo maradhi, umaskini, ugonjwa na uchawa utapokoma na ni kipande sana Chifu [emoji87]Tecnology inaibwa mkuu wala usihofu.
Reverse Engineering; they're only building the bodies and go on to use engines and gearbox systems they recycle from old autos. Nothing fantastic there.
Hawa watu washatoboa
Tecnology inaibwa mkuu wala usihofu.
Reverse engineering pia sio rahisi lazima uwe na idea na unacho kiiga. We unaweza kureverse engineer hivi wanavyovifanya?Reverse Engineering; they're only building the bodies and go on to use engines and gearbox systems they recycle from old autos. Nothing fantastic there.
Siku Bongo tukiiba hata technology ya kutengeneza teeth sticks industry na kutotegemea bidhaa zitokazo nnje ya nchi zaidi hata kwa 50% tu ndipo maradhi, umaskini, ugonjwa na uchawa utapokoma na ni kipande sana Chifu [emoji87]
Hawa watu washatoboa