Special Thread: Usiku wa mahaba

Eli79 unaona bahati hizi, hii ni embe chini ya mnazi.

Ila Mokoyo subiri kwanza nikuzungushezungushe bwana

usinizungushe bana ninavyokupenda sio vizuri kunizungusha. love you my diva
 
Last edited by a moderator:
usinizungushe bana ninavyokupenda sio vizuri kunizungusha. love you my diva

Mweeeeh kweli huu usiku wa mahaba, mi nilijuaga ushajikatia tamaa kumbe bado umo tu!!
 
haya mahaba ya usiku tu,::ukifika asubuhi ni mwendo wa michepuko
 
Kaka islets hujambo mkuu, pole na majukumu ya ujenzi wa taifa
 
Were in lecture au lecturer????
 
Mweeeeh kweli huu usiku wa mahaba, mi nilijuaga ushajikatia tamaa kumbe bado umo tu!!
atoto nina mahaba ya kweli na ya dhati siwezi kukata tamaa. naamini siku moja utakuwa wa kwangu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…