hujampa vyote bado ukimpa vyote atatulia kama maji mtungini.hembu fanya mlambishe uone mpaka kuanzisha hee thread nikutapatapa kwakwe tuu .
ww mpe bana kwani kuna ubaya gani si nimumeo wa kufa na kuzikana?? kwenye shida na raha??
sasa tunafanyaje bhanaa!
we mtoto wa mujini bwana hebu korokochoa fasta fasta kabla sijakwea meli kwenda kanda ya ziwa!!:wacko:
hahahah ukiona hivo nimebanwa pabaya sikurupuki jaman kwa huyu mwanaume anajua kukaba...plzz ukirudi kanda ya ziwa usisahau kuja na satoo
Kanda ya ziwa nifuate nini bhana wakati nimeshafika huku pesa zinakotokea wewe?
Btw, nilikuwa nimeshafika Jangwani, ngoja tu nirudi tu nikapumzike!
Ni kama tu umenipiga kibuti.....
Usiseme kanda ya nyoyo, sema kanda malum... TARIME!
Hahahaaaaa!! Ndio wa nitakugecha mura? Utakuwa jirani yangu kumbe
Karibu sana nikujue vizuri..
Nilishakuona mahali flani ila ukanitoroka...
Jirani yangu wewe, nakusifu kitu kimoja tu kikuu.... Mengineyo nyongeza!!Wapi huko tena jirani? Mie siwatorokagi majirani zangu bwana.
Jirani yangu wewe, nakusifu kitu kimoja tu kikuu.... Mengineyo nyongeza!!
Njoo pm jirani...Kitu gani hicho jirani? Am eger to know
Ila alikukula? si ndiyo mtoto mzuri?mi sijui si unajua yule babu maneno mengi vitendo sifurii..naona saivi anamlilia mmeru mwenzie lowasaa haiyaaaa
ila alikukula? Si ndiyo mtoto mzuri?
Njoo pm jirani...
Hapa ntaamsha wengi aisee!