Heaven on Earth JF-Expert Member Mar 21, 2013 37,226 26,639 Aug 30, 2015 #2 Ujinga ni kumtunza shosti dressing table wakati we hata stuli ya kukalia huna
davisoni JF-Expert Member May 3, 2014 402 426 Aug 30, 2015 #4 ujinga kumkataa Yesu wakati unataka kwenda mbinguni.
Apologise lady JF-Expert Member Sep 16, 2013 5,979 3,097 Aug 30, 2015 #5 Ujinga ni kuogopa kufa wakati unatamani kuishi paradiso.
coscated JF-Expert Member Nov 17, 2010 2,919 1,968 Aug 30, 2015 #6 kumshangilia #mapaddlock huku nyumba yenu ipo katika hifadhi ya barabara
Cham Bee JF-Expert Member Feb 10, 2015 3,516 1,854 Aug 30, 2015 #7 Ujinga ni kuukata ukweli wa aina yoyote ile na kuukubali uongo.
D Denny Cleophace Member Sep 8, 2014 39 6 Aug 30, 2015 #8 ujinga ni kun'gang'nia ccm wkt wajanja 2ko ukawa
Wissman JF-Expert Member Dec 12, 2014 1,011 1,279 Sep 1, 2015 #10 Ujinga ni kumwamsha mgonjwa umpe dawa ya usingizi
Iconoclastes JF-Expert Member May 26, 2014 4,091 2,509 Sep 1, 2015 #11 Ujinga ni kuona kitu gizani ukadhani ni kinyesi, ukakiguza, ukukakionja. Kisha ukagundua,''la hasha, sio kinyesi hiki...''
Ujinga ni kuona kitu gizani ukadhani ni kinyesi, ukakiguza, ukukakionja. Kisha ukagundua,''la hasha, sio kinyesi hiki...''
hussein boxer JF-Expert Member Dec 21, 2013 828 327 Sep 5, 2015 #12 ujinga ni kusema hapa kazi tu wakati huna kazi.
D duttu.e JF-Expert Member May 29, 2014 848 959 Sep 8, 2015 #13 ujinga ni kuamini utapata mabadiliko ya kiuchumi wakati hujitumi kufanya kazi.
M Music Man. Member Aug 11, 2015 72 15 Sep 8, 2015 #14 Ujinga Ni Kuishaibia Tim Za Mpira Ulaya Hadi Mishipa Inasimama Wakati Hawakujui..
wa kupuliza JF-Expert Member Jun 15, 2012 15,226 37,576 Sep 9, 2015 #16 Kutawaza wkt unajua ile kitu hua haitakati ng'oo
Omygad JF-Expert Member Jul 23, 2013 630 275 Sep 9, 2015 #17 Ujinga nikukata kumpigia kura #Diamond mtv kisa yupo ccm
Mentor JF-Expert Member Oct 14, 2008 20,328 23,879 Sep 9, 2015 #18 Ujinga ni kuamka asubuhi uwahi foleni halafu ukifika ofisini unaishia kuchati! Cc: Heaven on Earth Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
LACHERO JF-Expert Member Aug 7, 2011 478 278 Sep 9, 2015 #19 Kuogopa mbolea ya ng'ombe wakati supu ya utumbo unakunywa..
G Giambattista Vico Senior Member Apr 3, 2015 106 24 Sep 11, 2015 #20 ujinga ni kukwea mti, kubonyeza embe kuona kama limeiva, unapogundua limeiva, unashuka na kulitungua kwa mawe
ujinga ni kukwea mti, kubonyeza embe kuona kama limeiva, unapogundua limeiva, unashuka na kulitungua kwa mawe