Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,011
- 150,548
Na hizo rangii za rais wetu lissu vipKichwa ndio uhai ..ukishakatwa kichwa hakuna uhai tena
Na hizo rangii za rais wetu lissu vipKichwa ndio uhai ..ukishakatwa kichwa hakuna uhai tena
Picha inafikirishaa...kitandaaa kina rangi za bendera ya taifa ...alafu pahala pa kichwa kuna rangi za chadema alafu kwa miguuu naiona kijan imepaukaaKichwa ndio uhai ..ukishakatwa kichwa hakuna uhai tena
Hii ilikuwa lini?Kama sio kuwa mgombea hili lisingewezekanaView attachment 1579190
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu na mimi basi[emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818]View attachment 1579850
Hata sisi tunamkubali[emoji1308][emoji23]