Special Thread: Maswali na majibu yote katika udahili wa undergraduate degree 2019/20

Mr Confidential

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,492
2,357
Habari waungwana,

Baada ya kuona threads nyingi za watu wakiomba ushauri na miongozo juu ya kozi mbalimbali na uwezekano wa wao kudahiliwa katika vyuo vya ndoto zao, nimeona uzi huu ukutanishe watu wote (waulizaji na wenye kuyajibu)

Ushirikiano wenu ni muhimu, Karibuni
 
Me nmepata BBB katika hgl dah mnishauri course ya kusomea ndugu Zangu
 
Habari waungwana,

Baada ya kuona threads nyingi za watu wakiomba ushauri na miongozo juu ya kozi mbalimbali na uwezekano wa wao kudahiliwa katika vyuo vya ndoto zao, nimeona uzi huu ukutanishe watu wote (waulizaji na wenye kuyajibu)

Ushirikiano wenu ni muhimu, Karibuni
undergraduate degree inamaanisha nn kwanza
 
Back
Top Bottom