Use transcript Cha diplomaHello,, habari,,, ninashida kidogo kwenye application za mkopo,,, hivi kwa mtu anayetokea diploma na anataka kuomba mkopo ili kuendeoea na degree,,, ataambatanisha Nini ikiwa cheti chake bado hakijatoka na application za mkopo zinakaribia deadline,,, naomba mnisaidie hapo
GPA ya 3.5 uhakika upooHivi kwa mwanafunzi alietoka diploma anatakiwa awe na g.p.a ya ngapi ili kupata mkopo wa kujiunga na ngazi ya degree???
Hapana, hakuna tatizo loloteJaman ety Kama umekusanya Yale makaratsi ya mikopo,pale EMS.lakn form zako hazipo coloured,zipo black and white picha,ni makosa??
Mkuu heslb hawaeleweki kabisaWakuu hivi hizi appeals bodi ya mikopo majibu wanatoa baada ya muda gani?
Mwenye taarifa atujuze tafadhali .
Bei iyo iyokutuma maombi ya mkopo kwa mikoani ni kiasi gani
Pyhsically ndo nnaseeh bola uwafate mapema pyhsically au fungua account ingne utume chap,mda unasepaa ivoo
Kwani mpaka Leo hawataki kutoa hyo Batch ya 3..?Jamani waambieni HESLB watoto wengi huko UDSM hawajapata mikopo wa first year