Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Usingeondoka kirahisi rahisi [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah...Hakuna wakunila kichwa pale CoET 😀😀
Dah...Aliwaweza kwelikweli..Niliona wananichelewesha tu pale😀😀😀Usingeondoka kirahisi rahisi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tukiwa first year kuna Mwalimu mmoja wa DS ndani ya venue ya Yombo 1 alituambia, nanukuu "it's very difficult to enter the University but it's very easy to leave the University"
Yale maneno yaridhihirika baada ya baadhi ya jamaa zangu kuondoka chuoni kama utani vile[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mods hebu fanyeni editing kidogo ya Hio Heading, Hapo pa for na sio Foe, Ukisema Foe wale wakongwe wezangu moja kwa moja akili zao wanazipeleka Faculty of Engineers (Foe) kwa sasa College of Engineers (COET) Mlimani, Back to the topics Bongo innovation ni ndogo sana unajua kila kitu kinaenda kwa support na msaada wa walio tangulia sasa kama engineers wa miaka hio hawana hata muda wa kufika vyuo walivo somea na kufanya events unategemea nini? WAHANDISI tumekuwa watu wa kunenepeana Full vitambi na kutembea na Gari za umma tu tukihema juu juu yani ni kama mtu analipiza machungu ya msuli wa College
Ha ha hawa ndio wale semester ya kwanza sapu zote [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uwe honest uliwabwaga au ulibwagwa mkuu?[emoji23]
CoET ukikaa kizembe wanakula kichwa unakimbilia DIT au SAUT au Kampala gongo la mboto sasa usiseme uliwabwaga[emoji23]
Kwahiyo mkuu ulienda kukata viuno kama jamaa wa pale FPA[emoji23] [emoji23] [emoji23]🙂
Dah...Chuo cha Sanaa mkuu🙂 😀😀😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sometime hali huwa tofauti na unavo dhaniahahahahha
mi pia ndio ninachokisubiria niki graduate nikanenepeane Na kuendeshwa kweny v8 za serikali nifidie machungu maana sio kwa kusota huku
Dah... Sapu za madesa? Mbona simpo Sana... Unatafuta za miaka2 tu iliyopita unakomaa nazo... unafanya maajabu... BTW siyo shabiki Sana wa vyeti.. Kwa kifupi mabao niliyopigwa na waliosoma vyuo vingine kwa muda fupi ndiyo sababu kuu ya kuwabwaga CoET ...[emoji4] [emoji4]Ha ha hawa ndio wale semester ya kwanza sapu zote [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nadhani wewe huja soma CoET. Yaani hivi pepa kama ya mzee nyahoro unaibuka na past paper. Unataka kurudi home eh!Dah... Sapu za madesa? Mbona simpo Sana... Unatafuta za miaka2 tu iliyopita unakomaa nazo... unafanya maajabu... BTW siyo shabiki Sana wa vyeti.. Kwa kifupi mabao niliyopigwa na waliosoma vyuo vingine kwa muda fupi ndiyo sababu kuu ya kuwabwaga CoET ...[emoji4] [emoji4]