Special thread for Engineers

Hayo ni maneno ya kujifariji kwa wanafunzi wa vyuo vingine hasa waliokosa nafasi UDSM
CoET iko vizuri japo Mimi sikusoma CoET
Nilisoma CoNAS hapo Jirani yenu wanaCoET wazee wa slab
 
acha Rohombaya si tumedisco wote hapo..Tukaenda DIT tukawa vipanga? Baraza lifurahi.
 


Teh teh teh
 
Japokuwa sikusoma coet lakini silaha pekee ya kufaulu ni kusoma kwa kuelewa ,
Utafurahia maishaya university.
Dah... Sasa CoET wanasoma kwa kukariri Madesa...hawapati ule uelewa wa jambo[emoji13] [emoji13]
 
acha Rohombaya si tumedisco wote hapo..Tukaenda DIT tukawa vipanga? Baraza lifurahi.
Dah.... Kudisko wala siyo kwamba huwezi mambo... Bali hauendani na mfumo wa ufundishaji na utahini....ndiyo maana mkawa vipanga wa DIT
Mimi Sijasoma DIT..ila engineer wa DIT kwenye field yuko vizuri sana kuliko wa CoET... Na hili Nina uhakika nalo kwani nilikuwa nachukua mainjinia fresh kila mwaka[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Hayo ni maneno ya kujifariji kwa wanafunzi wa vyuo vingine hasa waliokosa nafasi UDSM
CoET iko vizuri japo Mimi sikusoma CoET
Nilisoma CoNAS hapo Jirani yenu wanaCoET wazee wa slab
Dah..Umewafanyia utafiti field? Au unaongea tu? Nimesoma hapo CoET kwa muda naelewa vizuri sana..Sikufurahishwa na ufundishaji wao....nikawabwaga ili nifanye mambo ya msingiπŸ™‚
 
Dah..Umewafanyia utafiti field? Au unaongea tu? Nimesoma hapo CoET kwa muda naelewa vizuri sana..Sikufurahishwa na ufundishaji wao....nikawabwaga ili nifanye mambo ya msingiπŸ™‚
Uwe honest uliwabwaga au ulibwagwa mkuu?[emoji23]

CoET ukikaa kizembe wanakula kichwa unakimbilia DIT au SAUT au Kampala gongo la mboto sasa usiseme uliwabwaga[emoji23]
 
Okee im here Civil Engineer from CoET tell me niqqers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…