Thubutu...nimenunua
Mimi naomba msaada, nahitaji kujua ni maeneo gani mazuri naweza fanya field kama electrical engineer kwa hapa Dar es Salaam?
Shukrani mkuu!nta 6 diploma anaitwa engineering technician wakati nta 5 ni full technician nta 4 ni technician. ndiyo maana inaitwa diploma ya uhandisi .
Kwanini jamii haituthamini?Upande wetu kuna changamoto nyingi sana tukianzia vyuoni hadi mtaani. Hatuthaminiwi na jamii, ukiomba field unanyimwa, kejeli nyingi kwenye makampuni hasa private sector. Muda mwingi tunawaza namna ya kujikwamua kimaisha kuliko kubuni vitu vya kuisaidia jamii, pia siasa imetuharibu sana badala ya kuangalia fani zetu then tumekimbilia siasa na kuwa wapiga makofi wazuri sana with slow thinking without question
Wapi mkuu. COET?? kama ni hapo basi same year tumehitimu. Pamoja sanaHa ha mkuu mie nataka kujua niweke/ niandike nini kwenye report yangu. Maana nimepanga kufika 2017 niwe registered professional engineer. Nimegraduate 2014
😀 😀 😀 😀 😀 😀Mods hebu fanyeni editing kidogo ya Hio Heading, Hapo pa for na sio Foe, Ukisema Foe wale wakongwe wezangu moja kwa moja akili zao wanazipeleka Faculty of Engineers (Foe) kwa sasa College of Engineers (COET) Mlimani, Back to the topics Bongo innovation ni ndogo sana unajua kila kitu kinaenda kwa support na msaada wa walio tangulia sasa kama engineers wa miaka hio hawana hata muda wa kufika vyuo walivo somea na kufanya events unategemea nini? WAHANDISI tumekuwa watu wa kunenepeana Full vitambi na kutembea na Gari za umma tu tukihema juu juu yani ni kama mtu analipiza machungu ya msuli wa College
Bodi inatambua mtu wa diploma pia. Wahi fasta na tafuta sehemu ya kufanyia mzoezi hiyo field yakoSamahani mtu mwenye diploma ya uhandisi naye hujulikana kama mhandisi?au mpaka awe na degree?
Elemu ya darasani inakupa foundation ya engineering. Kule kazini unahitaji knowledge ya vitu vidogo vidogo ili uweze kusolve matatizo ya ki engineer. Knowledge hiyo inapatikana darasaniahsanteni vijana kwa kuleta thread hii...mm nasoma Civil Pale CoET lakini sion kama vitu vipo practicaly oriented yan msuli ni wa zaid ya advance....skutarajia kama ndo lyf la uhandis na finaly sielew mm kama mhandisi natakiwa nifanye nn kuonesha ubora wangu na competence yangu
Ukiwa compitance hakuna mtu atakubagua. Shida ni pale uko shallow afu mashauzi mengiina changamoto ni nyingine ni kubaguana kati ya mhandisi mwenye diploma na mhandisi mwenye degree.
Kuthaminiwa kunaanzia kwako. Ukijithamini na kujitambua jamii nzima itakuthamini piaKwanini jamii haituthamini?
Asante sana mkuu. Kuna jamaa zangu nikiwambia nataka kujiendeleza wananambia mie punguani. Naona vijana tena engineers wanawaza kula ujana ata muda wa kusoma e book hawana. Unabakia na misifa kibao wakati out put yako ni zeroWengi tunakwama sababu hatuna mipango endelevu ya kupanua elimu yetu Mara baada ya kumaliza masomo....engineering is a life long learning professional. It requires those who do it to continually invest in life learning mission
CoET mkuuWapi mkuu. COET?? kama ni hapo basi same year tumehitimu. Pamoja sana
They kill their professional...before knowing they will wait for annual ERB meeting to receive miracles that will never comeAsante sana mkuu. Kuna jamaa zangu nikiwambia nataka kujiendeleza wananambia mie punguani. Naona vijana tena engineers wanawaza kula ujana ata muda wa kusoma e book hawana. Unabakia na misifa kibao wakati out put yako ni zero
Most of us we're practising engineering without getting registered. Government and private sector should keep eyes on this matter. Graduates must be mentored in the proper scheme to develop engineering career and priority should be given to those who show up onlyThey kill their professional...before knowing they will wait for annual ERB meeting to receive miracles that will never come
Who enforces the professional practise? It won't happen by accidentMost of us we're practising engineering without getting registered. Government and private sector should keep eyes on this matter. Graduates must be mentored in the proper scheme to develop engineering career and priority should be given to those who show up only
I think Government is having mandate to command all these issueWho enforces the professional practise? It won't happen by accident
Hahahahaaa,Nimesoma CoeT.Acha kukaririDah..... Shida kubwa ya coet ni madesa... .wahadhiri ni wavivu sana....ue au test au assignment aliyoitoa mwaka uliyopita huwa anabadilisha tarehe tu..... Hii kitu ndiyo ilinifanya niachane na Coet.. Ukimchukua engineer wa udsm kwenye field ni mbovu kulinganisha na B Eng wa DIT.... Huu ndiyo ukweli mchungu