njoo kwetu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 801
- 1,802
Wahandisi hawajui lugha kwa hiyo hakuna atakayemshangaa Mr. Engineer kwa makosa hayo. Kwenye Academy za akina Plato na Pythagoras mkazo ulikuwa kwenye hisabati lakini wanafunzi walilazimishwa pia kusoma falsafa, sarufi (grammar) na mara nyingi fasihi. Masomo haya yanasemwa kuwa yanaimarisha uwezo wa mtu kufikiri sawasawa na kuchambua mambo kwa kina. Leo hii tuna wanasayansi wana ma-PhD lakini wakifungua midomo kuongea maweeee! Mtu unaweza hata ku-kwesheni uwezo wao wa kuchanganua mambo na kufikiri sawasawa...ndukiiiiii!!!Hebu edit hapo kwa red fasta kabla watu hawajaamka... maana unawadhalilisha wahandisi wa FoE.
Walio thibitishwa na bodiWahandisi mmethibitishwa na bodi??
Au mmegraduate tu chuo mkawa wahandisi hapohapo.
Huyo ni technician au fundi! Engineer lazima uwe na degree!Samahani mtu mwenye diploma ya uhandisi naye hujulikana kama mhandisi?au mpaka awe na degree?
shukrani!na holder wa NTA level 4 au NTA level 5 anaitwa Technician pia?Huyo ni technician au fundi! Engineer lazima uwe na degree!
Hilo ndio elimu ya kitanzania.. ake sure kwny field yko .. uwe unafanya kazi kwa uwakik na hapo ndio sehemu ya kujifunzaahsanteni vijana kwa kuleta thread hii...mm nasoma Civil Pale CoET lakini sion kama vitu vipo practicaly oriented yan msuli ni wa zaid ya advance....skutarajia kama ndo lyf la uhandis na finaly sielew mm kama mhandisi natakiwa nifanye nn kuonesha ubora wangu na competence yangu
nta 6 diploma anaitwa engineering technician wakati nta 5 ni full technician nta 4 ni technician. ndiyo maana inaitwa diploma ya uhandisi .Huyo ni technician au fundi! Engineer lazima uwe na degree!
na changamoto ni nyingine ni kubaguana kati ya mhandisi mwenye diploma na mhandisi mwenye degree.Huyo ni technician au fundi! Engineer lazima uwe na degree!
TANESCO, TEMESA, Viwandani, Bandarini, NHC/TBA kufanya Installation ya Umeme wa Ndani ya Nyumba, pia kwenye Power Plants Stations kama Mtera, Kidatu, Nyakato Power Plants, Ubungo Power Plant Station, nkSamahani mtu mwenye diploma ya uhandisi naye hujulikana kama mhandisi?au mpaka awe na degree?