Acha mikwara Yako inshu ya kujaza uwanja inategemeana na mahali, saudia sio wote wapenda soka, mbona juzi tu hapa manara kalalamika, watu hawaendi viwanjani kwenye mechi za yanga na Simba je na penyewe sababu ni mchezqji Hana mvuto? Factors ni nyingi na si kua watu hawmkubali cr7 sema hamna wapenda soka kule maostadhi ni wengi kaka.
Kuhusu jezi kuvaliwa sana umechekesha nenda Kwa wapenda soka ukaone jezi za al nasri zilivo tapakaa, wanao vaa int Miami huvaa sababu rangi ya jezi na si huyo mandevu hata hazimpendezi kakoma tu na ndevu.