zachariano alexido
Senior Member
- Mar 10, 2026
- 168
- 416
Mashabiki wote wa Cristiano Ronaldo tukutane hapa kupiga stori mbili tatu kuhusu maisha, na role model wetu ni mnyamaaaaa
Hapana mkuu ukitaka kufanikiwa lazima uwe mbinafsi, kutokua mbinafsi una mana kila unachopata utoe na kwa wengine hapo utatjirika kweli?Mimi shabiki yake sana ila ubinafsi wake kisa kufukuzia rekodi ya mabao 1000 inagharimu timu zake kwa namna fulani.
Asipofunga ni kama kafunga, na akifunga kafunga kweli🔥🔥🔥🔥🔥🔥Mnatabu sana mashabiki wa cristiano
Hamna kitu hapoAsipofunga ni kama kafunga, na akifunga kafunga kweli🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Asipofunga ni kama kafunga, na akifunga kafunga kweliMnatabu sana mashabiki wa cristiano
Mwambie kachoka ana inshu kapitwa na wakati 😜😜😜Hamna kitu hapo
La pulga ana wasalimia 🤣
Mawazo Yako tyu, sisi tunamchukulia kama role model kwenye hustle zetu, kuna mambo tunajifunza na tunafanikiwa mfano nimejifunza kitu Kwa ronaldo, kutokuwahi kujiingiza kwenye majukumu ya kifamilia hadi unapo kamilisha malengo inshallah.Mahaba ya hivi kwa kiumbe mwenzio naona kama ni utoto.
Vikombe vyote anavyo be a USA na influence aliyonayo then unasema kachoka really!? Umeona anacho kifanya kule USA !? InatishaAsipofunga ni kama kafunga, na akifunga kafunga kweli
Mwambie kachoka ana inshu kapitwa na wakati 😜😜😜
Watu 72000 unafikiri cr7 akitua marekani itakiwaje mkuu? Hivi UNAJUA wamarekani walijenga, sanamu la cr7 wenyewe bila kushikiwa fimbo, na lilizinduliwa majuzi tu hapa? Kwan messi hawamjuiVikombe vyote anavyo be a USA na influence aliyonayo then unasema kachoka really!? Umeona anacho kifanya kule USA !? Inatisha
Juzi wamekwenda kucheza mechi Washington DC capacity ya mashabiki uwanjani ili fika watu 72000s , everybody wants to see Messi , do you think ni kitu Cha mchezo !?
Huko Saudi Arabia tu Kuna wakati anacheza mechi uwanja ukiwa una mashabiki sijui 1000 ndio aweze kukaza watu 72k USAWatu 72000 unafikiri cr7 akitua marekani itakiwaje mkuu? Hivi UNAJUA wamarekani walijenga, sanamu la cr7 wenyewe bila kushikiwa fimbo, na lilizinduliwa majuzi tu hapa? Kwan messi hawamjui
Tukinyanyua kwapa world cup, katapotea kabisa hako kajamaa, mana tutakua na kila kitu hapa dunianiCristiano Ronaldo afikishe magoli buku na sisi tuwe na chakutambia maan andunje ana misifa mingi
Acha mikwara Yako inshu ya kujaza uwanja inategemeana na mahali, saudia sio wote wapenda soka, mbona juzi tu hapa manara kalalamika, watu hawaendi viwanjani kwenye mechi za yanga na Simba je na penyewe sababu ni mchezqji Hana mvuto? Factors ni nyingi na si kua watu hawmkubali cr7 sema hamna wapenda soka kule maostadhi ni wengi kaka.Huko Saudi Arabia tu Kuna wakati anacheza mechi uwanja ukiwa una mashabiki sijui 1000 ndio aweze kukaza watu 72k USA
Acha basiiiii hapo kwanza ncheke 🤣
Ulishawahi kumuona mbongo mtaani tandale ndani ndani huko kavaa jezi ya team anayo chezea cr7
Vipi kuhusu jezi za Lionel Messi na team Yao ya inter Miami Kila Kona ya Dunia ukikatiza zimepatapakaa hiyo ni symbol tosha inayo dhihirisha who's Own the Throne
Huu uzi ungekuwa umeuanzisha kuanzia miaka ile 2006 mpk sasa ungekuwa na comments nyingi sana, ila kwa sasa hauna mana japo mm pia mwanangu uyo.Mashabiki wote wa Cristiano Ronaldo tukutane hapa kupiga stori mbili tatu kuhusu maisha, na role model wetu ni mnyamaaaaa
Cristiano ni famous kuliko Messi huo ndiyo ukweli ruka juu anguka chini huo ndo ukweli, ila huu uzi kwa sasa hauna maana cz yashapita hayo.Huko Saudi Arabia tu Kuna wakati anacheza mechi uwanja ukiwa una mashabiki sijui 1000 ndio aweze kukaza watu 72k USA
Acha basiiiii hapo kwanza ncheke 🤣
Ulishawahi kumuona mbongo mtaani tandale ndani ndani huko kavaa jezi ya team anayo chezea cr7
Vipi kuhusu jezi za Lionel Messi na team Yao ya inter Miami Kila Kona ya Dunia ukikatiza zimepatapakaa hiyo ni symbol tosha inayo dhihirisha who's Own the Throne