Special Thread, COPA America 2015

Kocha wa Chile ana mambo kama Marcelo Bielsa...

Yaani muda wote yeye ni kutembea tembea tu kulia, kushoto...

Hahaha Bielsa hapo anasubiri, Jamaa WC alikuwa anapiga misele kwenye hiyo area yake, uki-calculate unapata kuna wachezaji wa ndani amewazidi kilometres covered. Si mchezo
 
Samahanini dk ya ngapi?? Nimeachwa ndani mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…