Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Mbona kinyonge hivyo?.. kweli everlenk una nguvu kuliko breakdown
Hahaha ila mi niko upande wako *cough cough*, nilikuwa tu nataka kujua kama Kirikuu alikuwepo muda wote
dah, higuain bure kabisa. no wonder napoli kuchechemea
Thank you baby....Lkn isije kuwa Mamluki?
Hahaha Kwani hukumbuki WC mzee, kamekaa mifukoni mwa watu, kakajitokeza kwenye golden boot kakachukua bila aibu. Kana roho ngumu kweli yaani, mi nisingeweza. Na leo ni Yale yale
Thank you baby....Lkn isije kuwa Mamluki?
Kocha wa Chile ana mambo kama Marcelo Bielsa...
Yaani muda wote yeye ni kutembea tembea tu kulia, kushoto...
Yaani unani-doubt hadharani? We si mwema kabisa.
Kocha wa Chile ana mambo kama Marcelo Bielsa...
Yaani muda wote yeye ni kutembea tembea tu kulia, kushoto...
Wasiwasi ndo akili. ...lol
Wasiwasi ndo akili. ...lol