Special Thread, COPA America 2015

Hii mechi ngumu sana
Huyu Aguero hajagusa mpira nusu saa sasa
 
Hmmmm! unatumia dawa zipi kutibu watakaoumizwa? Na wewe ukiumizwa unaye wa kukutibu? au unaweza kunipa dawa zako nikutibu?

Nipo hapa kuwatibu wote mtakaoumizwa, kama ambavyo nimekuwa nikitoa Tiba lazima kazi yangu itimie Leo.....
 
Aisee! Huyu jirani nuksi kweli yaani, eti ndio anafungua mlango saivi. Nimekosa nini, Kirikuu ndio kaingia nini? Naona 0-0.
 
Vidal anarudi uwanjani...

Argentina: Aguero nje, Higuain ndani

Chile: Valdivia nje, Fernandez ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…