Special Thread, COPA America 2015

Mcheza kwao hutuzwa, itakua poa sana kwa Chile kutwaa taji hili ili kuionyesha dunia kwamba nao wamo pia.
 
Wadau tunaomba Link inayoonesha Mtanange. Vipi Azam TV Wanaonesha?
 
Nyimbo za taifa zinapigwa sasa...

Mkuu Watu8 tafadhali niwekee hapa link mkuu niangalie huu mtanange, yangu nayotumiaga naona imezingua leo sijui kwa nini
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…