Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Mbeleko litachanika wanapigwa kwanza tatu za chap chap kuwaweka sawa,kwanza mpaka hapo ni mafaniko kwao hawajawahi fika hiyo stage ....
Nimechoka kushangilia......hahahahahahaha
Aiseeee!!!! Natumai wanakulipia kisasi kwa mbali.......hongera zao ......matokeo ni ngapi ngapi?
Mnaona sifa wenyeweee... ila am so happy kuona kijana wetu wa OT anam prove wrong lvg
Hahaha kila la kheri mama, mi nitakuwepo kukufariji tu mambo yakienda sio, mkishinda....even better.
Exaggerated kiasi, ila hawatakuwa mbali sana na ukweli.
Shemeji umemsaliti mtakatifu wa soka... ona sasa umeshapigwa chini.My wishes to Brazil hope watalibeba kwa Mara nyingine.