Hahahaha!! Si useme tu cc
everlenk.......the Alien ni noma anaweza kushangaza malimwengu kwa header goal.....halafu mpe heshima yake basi sema King Messi........halafu ufupi thiyo hoja hata huko kwenu kuna wafupi, thithi thithiii ndo baba dhao na thithi thithiii ndo mama dhao.....