Nimelala sasa ? Hata sijalala nimekusubiri tusikilize BBC wewe hata hujaja ikabid niendelee tu na kazi za home as a woman sasa ndo nimekuja unipe story tamu tamu zinibembeleze nilale......BTW man of the match ni Ospina....
Hehe, Jamaa anaangalia hiyo asset kwa hisia kweli yaani
Hahahaha!!! Mimi sitoi hizo mimi natoa zile nakusubiri nione ni mimi au wewe mwenyewe kuchukua MOTM.....
Aiseeeh.. Paulo Sergio De Souz asione hapa
Embu ninong'oneze mimi tu hata wewe si umeiangalia kwa hisia? Hivi unazipenda hizo neema na wewe eehh?
Eeh bana, acha kabisa. Assets muhimu, lazima washkaji na wapinzani wakuonee wivu kwa kumiliki mali adimu.
Niliona mahali jamaa anasema alikuona na wewe una neema za kutosha pia. Nadhani namuamini jamaa.
team za south america ziko vizur sanaArgentina Na Messi wao ni shit!!
Hawajascore hata goli 1+ kwenye hii tournament
Aiseee!!! Hehehe kumbe ulikuwa unafatilia ule Uzi........
Kama zali tu, nilipita wakati muafaka, watu na bahati zetu *rubs hands Birdman style*
Haya bana story zako tamu zinanibebembeleza nilale..... Hivi mechi ya leo ni saa ngapi?
Hehe yaani story zangu zinakubembeleza ulale? ndio polite way ya kusema ni boring...hizi curves hizi.
Game ya leo itakuwa mapema tu, around 2300hrs za EA. Commentator mwenyewe nitakushtua ikiwa inaanza, twende sawa hatua kwa hatua.
Haya bana story zako tamu zinanibebembeleza nilale..... Hivi mechi ya leo ni saa ngapi?
Aiseeh.. mkuu una undugu na usain bolt nin?? Mbna speed yako inanitisha??.. lol
wakuu hivi messi ana goli ngapi ktk hi copa America
Hehe yaani story zangu zinakubembeleza ulale? ndio polite way ya kusema ni boring...hizi curves hizi.
Game ya leo itakuwa mapema tu, around 2300hrs za EA. Commentator mwenyewe nitakushtua ikiwa inaanza, twende sawa hatua kwa hatua.
goli 1 tu boss, alishauriwa awaachie wengine nao wafunge.
Nou bana!! Sikumaanisha hivyo......huwezi niboa hata Mara moja!!!! kweli nilikuwa na usingiz balaa, si unajua ni weekend tena......yaani unishtue kweli kweli hii ya Leo mida hiyo ni mzur kabisa.
Hahahaha!! Mawili na la jana😛.......Haya bana amejitahidi kila alivyoweza ngoma ngumu, Enrique mchawi kweli kaikamata MSN yake vilivyo hata isifanye kazi mwingine zaidi ya Barc
Haha usiwaze, mi nazingua tu.
Umeona jinsi MSN compliment each other eh? Sasa nataka kuwaona msimu ujao kama hiyo bromance na patnership itaendelea.
Itafanya kazi tu watang'ara zaidi.....ile ya kwenu halaa Madrid iko wapi......lol