Special Thread, COPA America 2015

Huyu Zabaleta alikuwa chizi wakati anaanza, nadhani kadri wachezaji wanavyopoteza nywele na kiwango kinaongezeka maradufu. Zizou, Robben. Rooney bora nae angeacha tu ziishe
 
Ukute Ospina anawaona washambuliaji wote wa Albiceleste kama Wenger, si bure hii performance.
 
Ni wakati wa kuminyaaaa kila aliyemuargentina humu ndani aminye....... Lol
 
Refaree mbna kafanana na valencia wa man utd, mjomba ake nin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…