Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Mnamfundisha tu si unaona Suarez alivyo now !!!!.......Loh!!.bora Vidal kuliko Pogb.......
Ni kweli kwa 100% kuna watoto wakareee hatareee hasa waki-brazil utatamani uoe kama "king mwati".
Hahaha Suarez! Ngoja muanze kufungwa muone anavyong'ata watu. Pogba shida yake ni attitude na ule uchafu wa nywele kichwani pale, Vidal ni muhuni kabisa yule, we muone tu alivyo.
Btw, kwanini mnakuwa na roho ya team Davido? Kila tunapoenda mnakuja kutubania tu. Kwa Pogba mlitufuata, tukahamia kwa Kondogbia, mkaja tena. Hehe nyie watu bana.
Hehehee nyie mna hela sisi tuna ushawishi, tunaimba mistari hatari yaani ntu akiwekwa kona hachomoi, km vile man akimwimbia mistari dem.........sasa nyie mnakimbilia kumwaga mihela no mahabat, sisi mahabat kisha mihela ohh!! Hapo hamna kuchomoa..... Unakumbuka Neymar hahahaha !!!! Nyie mwageni tu mihela sisi tunachukua kwa mdomo tu machoni penu.......au muwe mnasubir chama langu la kule OT tuwalelee ......lol