LOL! ningemfuatilia kwa karibu kabla ya kumake final decision ila kwa matokeo haya ya leo kajitahidi sana kupunguza kapu la magoli , mie sijasikia hiyo maana karibu kila siku nafuatilia gossip za usajili msimu ujao. Kama ni kweli kuhusu Ospina itakuwa ni makosa makubwa sana, ila MANC wanamtaka sana Wilshere na wako tayari kulipa bulungutu la kutosha. Kwa tamaa ya owners wa Gunners sitashangaa kama wakiamua kumuuza.